Recent content by eskei

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ukimuacha mpenzi muache vizuri, sio kumzulia mambo mabaya

    Pole sana kwa yaliyokukuta
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu yaja na viwango vipya vya ufaulu kidato cha Nne.

    Hizo hazitawahusu wale wa miaka iliyopita
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wadada leo mnisamehe kidogo

    Wengi Wao hawajui kama uzuri bila akili zinazoumia ni sehemu za Siri
  4. E

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nyakati 5 kuu ambazo wanaume huchepuka kwa wingi

    Namba moja hadi nne ni sawa. Na ndio maana baadhi ya jamii na dini huruhusu mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu ya hayo mambo ya kimaumbile. Ila namba tano hiyo ni tabia tu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Fumanizi...!

    Wengine wanajifanya wanapenda sana Eti hawawezi kuacha [emoji23] [emoji23]
  6. E

    JamiiForums Tanzania Fumanizi...!

    Kwann
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kanuni na sheria za kuanzisha shule ya elimu ya awali

    Ahsante sana. Je kama hizi ambazo tunaziona mitaani ambazo unakuta mtu anaeneo fulani tu kwenye nyumba hapo hapo kuna hizo center. Hapa ?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kanuni na sheria za kuanzisha shule ya elimu ya awali

    Wakuu naomba kufahamu kama nitajitahidi kuwekeza na kujiajiri katika uanzishaji wa shule ya awali. Kama kuna sheria na kanuni zozote ambazo zinatakiwa kufuatwa naomba kufahamishwa hapa. Pia msaada wa vitu kama gharama na mambo mengine ya msingi kwa wenye uzoefu. Eneo ambalo nafikiria kufanya huo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ni vipi vigezo vya uanzishaji wa shule ya awali?

Back
Top Bottom