Mm siku moja pia kwenye taa alingia hivyo hivyo na akasema wameambiwa nimebeba mirungi taa ziliporuhusu gafla ananiambia samahani siyo gari Yangu wamefananisha nikamshusha nakuendelea na safari zangu ila police wa Tz ni majambazi kabisa
Kila mkoa kuna street inaitwa uhayani street kazi yao ni kuuza miili kwa bei chee kabisa nenda Arusha utakuta kwa wahaya iko mjini kati K za buku mbili unapata ,wahaya mnajidhalilisha sana
Tyre za ndege in free wheel inatembea kufuatana na speed ya ndege ,hebu fikiria ndege ingekuwa inatembea let's say 250km/h surface speed alafu tyre imefunguka ikawa 150km/h huoni hapo ajali zingekuwa haziishi
Alafu watanzania tuwe wagikirifu kidogo,kwanza tujadili nn maana ya faida? Faida ni kinachobakia baada ya kulipa / kutoa running cost zote kinachobakia ndo faida sasa sisi tunausikaje ktk running cost ili nasi tuoewe dividend ? Hapo share holders tu ndo wanagawana kwa mtindo wa percent cc...
Kuna daktari bingwa alishomeshwa nje na hisoitali ya kcmc aliporudi ilikuwa yeye ndo aanzishe Huduma hiyo pale Kcmc sijui walikosana nn na mgt hivyo akaja Arusha na kufungua kituo chake na anafanya Kila kitu kuhusiana na hitaji lako kama VP njoo pm tujadili jinsi ya kukuunganisha nao
Ethiopia bwawa lao linazalisha megawatt 7000 na wana lingine jipya linazalisha nafikiri megawatt 2000 hivyo kwa muda so mrefu wanakuwa na jumla ya megawatt 13,000 wakati sisi hatujafikisha kwa jumla 4000
Jibu ni very simple kiprotocal mkuu wa wilaya ni mkubwa zaidi ya viongozi wa majeshi na ndiyo maana mkuu wa wilaya atatajwa kwanza kwenye utambulisho kabla ya wakuu wa majeshi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.