Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

Lady in action, ni lazima iwe Muhimbili?,nafahamu Kuna hospitali ipo Arusha,Ina itwa Avinta Care, wapo Poa,pia gharama zipo poa, Kama utahitaji nitakupatia no
Nitashukuru ..nimetaja muhimbili sababu gharama zao walitangaza kuanzia 2m mpaka 10m nikaona nitaweza kuafford
 
Hivi Dar IVF bado ipo???? Au imehamia pale Sali Hospital baada ya kuchukua lile jengo???? Though success rate yake sijui ikoje

Best option nenda SA... kule wana clinic nyingi na wapo professional sio wababaishaji...
Uko n Dar IVF n nouma kumuona doctor tu n 230,000/=
 
Hii huduma serikali itoe bure kwa wafungwa wa kiume kwa wake zao ili kutowanyima haki ya kuzaa. Kuliko kuwa jela ukitoka unakuta kitanda haramu
 
Wapendwa poleni na majukumu.

Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.

Naomben kufahamu.
Kuna daktari bingwa alishomeshwa nje na hisoitali ya kcmc aliporudi ilikuwa yeye ndo aanzishe Huduma hiyo pale Kcmc sijui walikosana nn na mgt hivyo akaja Arusha na kufungua kituo chake na anafanya Kila kitu kuhusiana na hitaji lako kama VP njoo pm tujadili jinsi ya kukuunganisha nao
 
Pole sana, kwa ninavyo fahamu DAR IVF wanatoa hizo huduma na kuna watu kadhaa ambao ninawafahamu binafsi wameshapata hizo huduma kupitia hicho kituo. Jaribu kuwatembelea au uwapigie simu ili upate taarifa zaidi.
 
Kuna daktari bingwa alishomeshwa nje na hisoitali ya kcmc aliporudi ilikuwa yeye ndo aanzishe Huduma hiyo pale Kcmc sijui walikosana nn na mgt hivyo akaja Arusha na kufungua kituo chake na anafanya Kila kitu kuhusiana na hitaji lako kama VP njoo pm tujadili jinsi ya kukuunganisha nao
Dalali
 
Back
Top Bottom