Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

Msamvu kwa nyuma ulizia Gwami hotel ilipo hapo utakuta lodge nyingi nyingi tu...ila hapo Gwami room 50K
Hapo nyuma ya Msamvu kuna siku niliingia Moro kutokea Dom mida ya saa 5 usiku nikakuta zote zimejaa na kuna jamaa wanashika vyumba na kuuza kwa bei ya juu,kwakuwa sikuwa mwenyeji ilinibidi nipitilize nikaenda kulala Chalinze...
 
Pole sana mkuu.
 
Yaani sehemu ya kulala 25,000-30,000/- ndio unaanzishia uzi acha sifa za kibwege
Yawezekana ni mgeni hajawahi kufika mkuu so anahitaji mwongozo na kwa Moro ukiwa mgeni lodge ya 15k unaweza lipishwa mpaka 30k.😅😅😅
 
Wasalamu wakuu.

Kesho naenda Morogoro, wenyeji wa huko au wenye ujuzi wa sehemu nzuri ya kulala kwa bajeti ya 25,000-30,000 na sehemu tulivu

Tujuzane.
Unapendelea burudani gani?
Muziki
Dada poa
Nyama choma
Pombe
Massage
Ili tukuelekeze karibu na huduma uipendayo?
 
Mkienda Morogoro, unataka pa kulala nenda Bembea Lodge. Pale unasave sana pesa cuz unalipia elfu 3 tu. Na nje pale unapata totozi.
 
Msamvu kwa nyuma ulizia Gwami hotel ilipo hapo utakuta lodge nyingi nyingi tu...ila hapo Gwami room 50K
Hujatembea ww njoo Arusha Makao mapya na kaloleni zote ni guest
 
Back
Top Bottom