Recent content by Escobar jr

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

    H Habari, siyo habali
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kutajwa kwa Mbowe: Kisa ni Billicanas inayomilikiwa na Mbowe Hotels

    HV kuna bilicanas kweli? Huyu bwana anaongea vitu ambayo vishapotea kwenye Raman ya bongo. Be updated bro!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kinachokukera kwenye serikali ya awamu ya tano

    Se Sema cna hela, sio hela Hamna!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tangu Magufuli aingie madarakani ni mambo mawili tu ninayompongeza

    Kwani English ni nn kwake hata asipojua?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Addis Ababa Ethiopia: Hongera Rais Magufuli kwa kukitangaza Kiswahili AU

    Kwan wewe ulitaka ahotubie kwa lugha gan ili uskaribishe mada?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Njaa Tanzania: Mke wa Mfalme wa Ufaransa alipowataka wafaransa wale keki kama mikate ni ghali

    Rorya watoto 2 wamefariki kwa kula chakula chenye sumu "ongata" kwa kukosa chakula.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Idadi ya wabunge wa upinzani kwa sasa tunatosha kumg'oa Rais Magufuli

    Hoja ya Zitto ni fikirishi. Hata kama atashindwa kumng'oa Rais lkn kwa Mara ya kwanza rekodi itaandikwa kwamba amenusurika kama Zuma na dunia itajua ni kwa nini! Kubaka katiba. Hii ni aibu kubwa. Na iwe fundisho. Endelea Zitto tuko wengi mno ndani ya CCM tunaokuunga mkono.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa vyeti kwa watumishi wa umma ilikuwa ni danganya toto

    Kwa hyo kisandu ni kichaa!!.. Cjakuelewa hapo
  9. E

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Jibu zuri, nomelipenda
  10. E

    JamiiForums Tanzania Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Naona ninaye!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dini ya kweli na ndio nimeamua kuifuata

    Karibu sana mkuu. Mi niliingia 2009, nayaona mafanikio hasa baada ya kumrestisha mamangu.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Utabiri 2017 Maalim Hassan Y. Hussein afunguka

    Una ugomvi na Lowassa, Sumaye na Kingunge.
  13. E

    JamiiForums Tanzania PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Kwelii, umetoa ufafanuzi mzuri na wa kisomi kuhusu PhD. Tatizo uchambuzi wako haujatoa hitimisho. Je kati ya hzo zote, ni IPI hasa alonayo mheshmiwa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Lakin mi bora anaekwambia ukweli sasa, ili ujue unajipanga VP, kuliko yule anaekufariji na kukuahidi halaf asitimuze hyo ahadi
Back
Top Bottom