Magazeti ya kifisadi ni yapi?Naona umeshaweka siasa kabla hata hujaanza mjadala.Actually niliulizia scale ya lengo kwa taifa zima.Rudia kusoma post yangu na asante kwa kuchangia.
Uko Marekani na wewe ni Mtanzania
Unao uwezo wa kurudi nyumbani au kutengeneza voters registration program ndogo katika jimbo lako na ukaifadhili wewe na marafiki wachache.(Keep in mind idadi ya wakazi katika jimbo na ethics ya volunteers).Pia una uwezo wa ku-mobilize hawa uliowahamasisha...
Ufinyu wa fikra utakusumbua kwa muda mrefu maishani.That I guarantee.Fuatilia kwa makini utajua mimi ni mfuasi wa fikra zipi,usikurupuke kama ulivyom-quote Marando usiyejua lolote kuhusu that particular quotation.Jitahidi usiwe superficial arm chair activist.
Nilikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria onyesho la Joseph Mbilinyi (MB) pale Club Bilicanas baada ya Bunge la Februari. Kwa wale mliokuwepo nadhani mnakumbuka matusi aliyokuwa anayatoa Joseph waziwazi huku akipigiwa makofi na Freeman Mbowe, usiku ule mbele ya Wananchi. Mbunge anavitukana...
Mtanganyika nashukuru sana ndugu yangu.
On top,kuna walakini na elimu inayotolewa kwa vijana wetu.Angalia wengi waliotoa maoni hapo juu utaelewa kitu ambacho kila mara kimekuwa kero kubwa kwangu binafsi hasa kwenye hizi forums za mitandaoni.Ubishi usio na tija.
Mdondoaji,angalia jambo kwa upana wake.Kwa kiasi kikubwa derived,utakuwa unaongelea imports (out of hand unless we have a control on international business which we don't),consumables (YES,we can by tax / subsidy tools).
Let me insist here,hata taifa la kibepari linaweza kuwa na price...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.