Watu wasiposhiriki mchakato wa kisiasa; Wakichaguliwa wasiotakiwa nani alaumiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wasiposhiriki mchakato wa kisiasa; Wakichaguliwa wasiotakiwa nani alaumiwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ernesto Sheka, Mar 13, 2011.

 1. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko Marekani na wewe ni Mtanzania
  Unao uwezo wa kurudi nyumbani au kutengeneza voters registration program ndogo katika jimbo lako na ukaifadhili wewe na marafiki wachache.(Keep in mind idadi ya wakazi katika jimbo na ethics ya volunteers).Pia una uwezo wa ku-mobilize hawa uliowahamasisha kujisajili ili wafanye maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi.

  Inatokea kwamba hujafanya hili na mtu ambaye una uhakika kabisa hakupaswa kuchaguliwa kama mbunge anapita huku asilimia chache sana ya watu waliopaswa kupiga kura wakishiriki na mambo yanaenda kombo jimboni.Keep in mind watu kama wewe mko wengi.(Law of Fair Concious).


  Je,nani alaumiwe hapa?Wewe kama sehemu ya jamii yenye mwamko ambao hukuutumia kusaidia au mbunge aliyepita kwa uzembe wa wachache ambao wangeisadia ile jamii kufanya maamuzi sahihi?
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Swali halieleweki,ila ni bora ujue kwamba kuna wanaharakati wengi tu huku! na kila mtu anafanya kivyake.Kuna wabunge ambao grassroots movement yao imetoka huku kwa wabeba mabox hila naomba nisitaje majina!
   
 3. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rudia swali langu mkuu.
   
 4. k

  kamalaika Senior Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  unasemaje kwa wale ambao wanamchagua mbuge wampendao na wanajua kuwa ameshinda halafu kunakuwa na mizengwe mwingine anawekwa?
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Bac 2ambie majina yao kwenye PM please
   
 6. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  tume ya uchaguzi ndiyo ya kulaumiwa hapa......kwasababu huenda kilichonipelekea mimi nisiendelee na kuacha kuisaidia jamii ni kwasbabu labda wapo watu ambao walifanya hivyo katika uchaguzi uliopita na matokeo yakachakachuliwa na tume ya uchaguzi sasa ni kwanini nipoteze pesa zangu bure.......

  najizuia kutotafakari kwa kina lakini nashindwa.....I was born with it, how shoul I leave it to you?
   
Loading...