Makofi ya Mbowe na kizungumkuti cha maadili ya Viongozi Tanzania

Kuwa muwazi utuambie hayo matusi yaliyokuwa yanatukanwa
Eti aliwaambia wale walioiba write up ya mradi wake wa malaria kwamba hawajaambulia kitu bali walijihangaisha tu. Yeye sasa hivi ana bingo kubwa kuliko wao. Na waliiba ma documents hawakuiba akili na busara zake........hayo nayo ni matusi jamani..........
 
Mkuu,
Bilicanas hawauzi maji peke yake, tuwekee ni matusi gani ili watu wengine waweze kuthibisha, kwenye mazingira kama hayo unaweza kumwelewa mtu tofauti.

Umesema "Trust me,descent young people are on their way to clean up uchafu huu wa ukosefu wa maadili kwa ninyi mnaojiita vioo sahihi kwa jamii" Kwa sababu unatambua vijana ndio taifa la kesho, ungeanza kwa kukemea UVCCM matusi waliyotoa dhidi ya Dr Slaa ili tusikuone una chuki binafsi na Mbilinyi.

Mpaka leo hakuna kiongozi yoyote wa CCM kama Makamba aliyewakemea UVCCM inaniacha na swali ni kweli wanampango wa kuwaandaa vijana kuwa taifa la kesho?
 
I think hilo la UVCCM ungelifanya wewe kama mimi nilivyofanya kwa hili.
 
Eti aliwaambia wale walioiba write up ya mradi wake wa malaria kwamba hawajaambulia kitu bali walijihangaisha tu. Yeye sasa hivi ana bingo kubwa kuliko wao. Na waliiba ma documents hawakuiba akili na busara zake........hayo nayo ni matusi jamani..........

lost in the middle of nowhere.
 
KAMUULIZE MPESYA (ALIYEGOMBEA UBUNGE NA SUGU MBEYA) alikuwa anatembea na albamu ya ant virus kuonyesha uma kuwa sugu ni muhuni lakini watu walimuambia uhuni wasugu autuhusu ila tunaamini atatuletea maendeleo na kupapambana na ufisadi, hata mama Ephahim Kibonde analijua hilo.
 
...Trust me, descent young people are on their way to clean up uchafu huu wa ukosefu wa maadili kwa ninyi mnaojiita vioo sahihi kwa jamii.And when they clean up,it's a new move,new politics.
Hayo ndio mnayapanga na Makamba?
- ukabila mlishindwa
- udini mmeshindwa
- "uhaini" mnashindwa

Sasa mnapanga mafia gangs na irrational propaganda. Tatizo hamtaki kukubali kwamba umma umechoka kuwa na Rais asiyejua umasikini wa watu wake unasababishwa na nini!!!

Kaeni chini mfikiri mara mbili; mtu anashindwa hata kuzuia marumbano miongoni mwa mawaziri aliowateua, MTAWEZA KUMSAIDIA?
 
I think hilo la UVCCM ungelifanya wewe kama mimi nilivyofanya kwa hili.
Hili la Mbilinyi umefail kwa sababu umeshindwa kutuelezea ni matusi yapi hayo.

Wewe unatakuwa kama mzazi ambaye anawambia majirani zake anataka mtoto wake awe scientist wakati hajui mtoto wake yupo darasa la ngapi.Kama wewe unaamini kwamba vijana watakuja kusafisha huu uozo ulipo, kwa nini usielekeze mchango wako huko kwa kukemea matusi ya UVCCM dhidi ya Dkt Slaa ili waweze kujakuwa viongozi waadilifu siku za usoni, zaidi ya hili la Mbilinyi ambalo unasema alitoa "matusi"
 
Mr. Ernesto Sheka naona umeshidwa kuthibitisha matusi uliyodai,

nikupe mfano mmoja wa yanayoweza kuitwa matusi ni haya yaliyosemwa na Mbunge wa Tarime, Nyangwine Nyambari (CCM), kuwa wote waliompinga wakati wa uchaguzi mkuu uliopita wakimuita mbunge wa briefcase waende wakawaambie hivyo mama zao kuwa "Briefcase ni mama zenu," .
 
munaikumbuka hii singo ya Nas Escober?

alitukanwa Rais, ilitukanwa congress, walitukanwa FBI, CIA n.k.

sembuse magazeti yenu ya RAI na Jambo Leo?

singo ili-hit na Nas mwenyewe hakufanywa kitu.

sometimes muwe munakuwa na kumbukumbu kabla ya kuleta thread zisizokuwa na mashiko.

NAS LYRICS - I Want to Talk To You

Nas Escober sio mwanasiasa mkuu.... apples with apples, oranges with oranges!

Kama kweli Mh. Mbunge alitukana basi tujue na ndio tutaweza hata kushauriana ni jinsi gani tunatakiwa tusonge. Tusifumbie macho kila kitu just because Mbowe au nani mwingine alikuwa anapiga makofi.

thats all!
 
mkuu,
bilicanas hawauzi maji peke yake, tuwekee ni matusi gani ili watu wengine waweze kuthibisha, kwenye mazingira kama hayo unaweza kumwelewa mtu tofauti.

umesema "trust me,descent young people are on their way to clean up uchafu huu wa ukosefu wa maadili kwa ninyi mnaojiita vioo sahihi kwa jamii" kwa sababu unatambua vijana ndio taifa la kesho, ungeanza kwa kukemea uvccm matusi waliyotoa dhidi ya dr slaa ili tusikuone una chuki binafsi na mbilinyi.

mpaka leo hakuna kiongozi yoyote wa ccm kama makamba aliyewakemea uvccm inaniacha na swali ni kweli wanampango wa kuwaandaa vijana kuwa taifa la kesho?

hitimisho tosha...hata mtoto wa darasa la kwanza ameshaelewa
 
Mwacheni jamani si unajua akili zako ukichanganya na za kuambiwa taabu sana.
 
we bwana mtoa mada huna jipya kwa kweli! Mbona vyombo husika (police) hawajamkamata na kumfungulia mashitaka? Au unadhani hawakuwapo ukumbini pale? Umefilisika kama hilo lichama lenu zeee!!
 
Umekuja mbio mbio (wiki mbili baada ya tukio) ukilalama 'ohh Mh. Mbilinyi katukana...' Haya umeulizwa, katukana nini? Unabaki kutoa ahsante!!

Huo ndio ujana wa leo? Hayo ndio mabadiliko ndugu? Au ulifikiri ukitaja Mbilinyi, Mbowe, Billicanas utapata mileage? Ugumu wa kutetea au kuthibitisha ulichosema unatokana na nini?

Acha kuwa na tabia za mwambao (hili ni tusi). Unapoamua kusema kitu mbele ya watu uwe tayari kutetea na kuthibitisha.

Unapojiita mwanaharakati mwenye fikra wakati fikra zako ni kusema ahsante na kutoa hoja two weeks after the event then unashindwa kuthibitisha unatushangaza wengi.

Matusi si sahihi, Sugu hakutukana hivyo yuko sahihi. Kama kuna aliyetukanwa basi angekuwa wa kwanza kulalamika.

Mwisho, mwanamke anayejiuza ni malaya. Hapo sijatukana, nimesema ukweli. Mtoto wa kiume anayekuwa na 'boyfriend' ni shoga. Sijatukana. Atakuwa na tabia ya kusema vitu akiulizwa athibitishe anang'ata vidole. Atakuwa ana tabia za mwambao. Using'ate vidole, thibitisha maneno yako. Hapa sio FB au Twitter. Hapa ni JF. Next time unawanyooshea kidole watu bila sababu utanyooshewa kidole cha kati.
 
Sheka akisoma post hii lazima atasema ametukanwa wait n' c.
 
watu wengine bana, hizi pombe zinazopikwa kwa kuchanganywa na petroli zina madhara, thread gani haina miguu wala kichwa !!
 
Tuwekee hapa JF ni matusi gani aliyotukana JM kumlenga JK

nadhani wewe ni Kibonde wa Clouds Fm uliyejipa jukumu la kutukana watanzania maskini.
 
Nilikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria onyesho la Joseph Mbilinyi (MB) pale Club Bilicanas baada ya Bunge la Februari. Kwa wale mliokuwepo nadhani mnakumbuka matusi aliyokuwa anayatoa Joseph waziwazi huku akipigiwa makofi na Freeman Mbowe, usiku ule mbele ya Wananchi. Mbunge anavitukana vyombo vya habari na viongozi huku akipigiwa makofi na mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Hivi tuna wanasiasa au wanasiasa? Trust me, descent young people are on their way to clean up uchafu huu wa ukosefu wa maadili kwa ninyi mnaojiita vioo sahihi kwa jamii. And when they clean up, it's a new move, new politics. Upinzani si kubisha tu na kuwa na mishipa migumu ya shingo.

STOP MAKING TANZANIA OPPOSITION POLITICS LOOK LIKE A CRAP! Jifunzeni kwa nini nchi nyingine za EA ikitokea a slight unrest inapewa air time katika vyombo vya kimataifa but not kwetu!

Sasa Mkuu ulikuwa mmojawapo katika onesho hilo. Joseph anatukana ninyi mliokuwepo mnapiga makofi!!!! Saasa mada unamletea nani?

Hata hivyo, kama kweli alikuwa anatukana, kwanini waliokuwepo mlipiga makofi badala ya kuita polisi wakamkamata? Au wote mlioenda kwenye onesho hilo mlikuwa wafuasi wa chama chake?
 
Kijana amelewa sifa za ubunge,,, mwache alewe, anywe pombe apombeke....

siasa za majitaka hazikawii kukosa msisimko. wapinzani aina ya John Mnyika wanatumia siasa za maji safi.....hawatukani lakini kajijengea sifa kubwa nchini na atadumu kwenye siasa kwa muda mrefu kwa kuwa ana-deal na issues sio watu.
 
Back
Top Bottom