Recent content by ErlangB

  1. ErlangB

    Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

    Pumbavu na wewe😀😀 Tuache kubeti aaah Tuache kurusha ndege aaah
  2. ErlangB

    TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    So view once ni kwa wale tu wanaotumia official app ya whatsapp otherwise your in trouble😀
  3. ErlangB

    TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Gb whatsapp inakuruhusu kuidownload picha iliyotumwa kwa view once na ukabaki nayo kwa gallery
  4. ErlangB

    Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

    Anahisi Jeshi ni kikundi cha wanasiasa, chezea popote sio hao wanaume[emoji849]
  5. ErlangB

    Nakatishwa tamaa kutaka kazi ya Jeshi

    In short ukiingia jeshini kwa minajiri ya kujitafutia pesa hata hiyo koz yenyew hutamaliza namanisha kuvumilia kwako kutakuwa mdogo sana. Nikuambie tu mafunzo ya jeshi ni roho wala sio mwili kuna mda utapgwa stick zaid ya punda aliyegoma kubeba mzigo sasa ukiwa na mentality kama unayoiuliza...
  6. ErlangB

    Nakatishwa tamaa kutaka kazi ya Jeshi

    Jeshini hakuna pesa kaka, unakuwa tayar kufa kwa ajili ya nchi yako... Na hako ka masters kako utalipwa lakn kukatumia sasa ndo msala
  7. ErlangB

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Na ni mtu mmoja anahitajika out of 400+ candidates:):):):):)
  8. ErlangB

    Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Sijawahi kutukana mtu ila daa, ulitakiwa uwe wa kwanza aisee, sijui unakwama wapi, mwishoe mtasema na waliosomesha la bodi ya mikopo nao hamna kitu pia. Watu na utajiri wenu
  9. ErlangB

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Bro kila tangazo unalo:):):):):) Thanks for reference. Upo vizuri kamanda
  10. ErlangB

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Sio kutapeli tu, anakwaza yani. Afu huku sio wote tunaofatilaia huu uzi ni graduates wengne sisi ni la saba "B"
  11. ErlangB

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Ndo yule yule tuliyemfukuza kaja na ID mpya atapeli watu, Fala kweli huyu tunamchola tu
  12. ErlangB

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Haya mambo kuitana mkuu yameanza lini???
Back
Top Bottom