Wanawake wa leo hii hii mada wanaiona kama vile wapoteza muda kuusoma ni wachache wanaoweza kuifanyia kazi tena labda wale ambao ni wacha Mungu saaaana lakini kuna wanawake leo hii unamshauri hashauriki ila anajiamini kwamba hata yeye una uwezo kimaisha sana sana akiwa amesomea vitu kama...
Habari ya saizi wakuu humu JF natumaini wengine wameshapumzika na wengine bado
Kuna swali linawahusu wale waliojua maarifa ya ki Mungu yaani wameyashika maandiko Ya Mungu
Swali lenyewe ni hili
Je! Kati ya shetani na Adamu yupi alikuwa wa kwanza kuwepo duniani majibu yawe na refferences...
Weweeeeee ndoa ni kufuata maandiko yanasemaje kuhusu ndoa na sio kwa kuwa na wewe unaweka mshahara wako mezani ndio uwe na zarau kwa mmeo
Uweke mshahara mezani au usiweke
Mme wako aweke mshahara mezani au asiweke atabaki kuwa mme na maandiko yanavyosema enyi wanawake watiini waume zenu nanyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.