SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

Erisha Elly

Member
May 24, 2017
20
45
Habari ya saizi wakuu humu JF natumaini wengine wameshapumzika na wengine bado

Kuna swali linawahusu wale waliojua maarifa ya ki Mungu yaani wameyashika maandiko Ya Mungu

Swali lenyewe ni hili

Je! Kati ya shetani na Adamu yupi alikuwa wa kwanza kuwepo duniani majibu yawe na refferences

Nawakilisha kwenu
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000

Mungu alimuumba adam na kumuweka katika bustani ya eden. Katika bustani hiyo aliweka malaika (seraffin, & kerubim) wailinde bustani hiyo. Hao malaika walipewa jukumu la kulinda bustani hiyo dhidi ya malaika aliyeasi, yaani shetani. Kwa hiyo Adam anasubiri sana tu kwa shetani. Haina haja ya references zaidi ya hapa
 
Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,029
2,000
Mimi sijashika dini lakini nitakupa majibu kwa uelewa wangu:

Shetwani ndie wa kwanza kushushwa hapa town, na hakushushwa kwa utaratibu mzuri.... Alizingua kule juu akataka kumpindua Mungu akaona isiwe tabu ndo akamteremsha fasta. Na ndo maana utaona hata katika mazungumzo ya Eva na shetwani, shetwani ndo alionekana kujua jografia ya garden kuliko Eva...

NB. Kumbuka huyu bwege ni bonge la msanii, akiamua kuimba hapa wote tutaingia kwenye show. Na ndo maana anawagawia wasanii wa music sehemu tu ya kipaji chake. Unachotakiwa Kufanya ni kukiri tu kuwa unamwaminia.

Alikuwa anamwimbia Mungu Huko juu na ndo maana kila ambaye anajitokeza kujifanya anamwimbia Mungu na akawa Hana msimamo lazima ile kwake Kiimani. Angalia waimba injili wetu na maisha Yao ya kila siku..

Huyu Jamaa ni mazafanta.
 
LOCAL SPONSOR

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
372
1,000

Mkuu hii habari ya shetani kutaka kumpindua mungu nina Mashaka nayo, ni one sided story,hakuna mtu anaejali kutafuta upande wa pili ( wa shetani) ukoje, hatendewi haki kabisa
 
k_dizle

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
881
1,000
Mungu alimuumba adam na kumuweka katika bustani ya eden. Katika bustani hiyo aliweka malaika (seraffin, & kerubim) wailinde bustani hiyo. Hao malaika walipewa jukumu la kulinda bustani hiyo dhidi ya malaika aliyeasi, yaani shetani. Kwa hiyo Adam anasubiri sana tu kwa shetani. Haina haja ya references zaidi ya hapa

Daah dini kweli pasua kichwa, malaika wakawekwa wailinde bustani dhidi ya shetani. Sasa mkuu ikawaje tena wakala tunda Adamu na bi Hawa/Eva na bustani ilikua inalindwa? Kwa hiyo jamaa walilala lindoni au? Msaada hapa kidogo
 
k_dizle

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
881
1,000
Mkuu hii habari ya shetani kutaka kumpindua mungu nina Mashaka nayo, ni one sided story,hakuna mtu anaejali kutafuta upande wa pili ( wa shetani) ukoje, hatendewi haki kabisa
Aiseee hii ndio JF bwana!! Kwa hiyo mkuu Shetani hatendewi haki kabisaaa kama ripoti ya Nape kwa mujibu wa Mwakyembe kwamba ni ya upande mmoja tu.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
Daah dini kweli pasua kichwa, malaika wakawekwa wailinde bustani dhidi ya shetani. Sasa mkuu ikawaje tena wakala tunda Adamu na bi Hawa/Eva na bustani ilikua inalindwa? Kwa hiyo jamaa walilala lindoni au? Msaada hapa kidogo
Ni kweli Bustani ilikuwa ikilindwa na malaika. Kumbuka shetani ni mwerevu sana mwenye maarifa mengi, anaja siri karibu zote za mungu. alishawahi kuwa malaika mkuu na msaidizi mkuu wa mungu. Sasa siku ya tukio aliwahadaa wale malaika walinzi wa bustani (maserafi) akaingia bustanini bila wao kumuona. hapo shetani akawahadaa adam na hawa. fahamu pia kwamba hao malaika waliowekwa kulinda bustani hawana nguvu sana kama akina malaika Gabriel au Mikaeli waliopewa nguvu za kumshinda na kumfukuzia mbali shetani. hata hivyo hao malaika waliokuwa wakilinda bustani ya eden kwa sasa wako mbinguni karibu na kiti cha enzi anapokaa mungu, kazi yao kuabudu kwa kuinama na kupiga magoti mbele za mungu masaa yote (sijui ndo azabu waliopewa kwa kushindwa kumzuia shetani, mimi hili sijui). Wale wenzao (makerubi) kazi yao ni kuimba nyimbo huko mbinguni. Nyimbo hizi ni za kumsifu mungu na wanaimba mda wote (inasadikiwa hawali wala kulala).
 
euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
2,475
2,000
Jamiiforum ni hatari sana watu wanamajibu ya utani kupindukia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom