SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

Shetan alikua miongon mwa malaika, na malaika walikuwepo kabla ya Adam. Na ni baada ya Adam kuumbwa ndiyo shetan akaasi!
 
Kwanza ujue kutofautisha
JINNI
MALAIKA NA
BINADAMU

JINNI ni kiumbe aloumbwa kwa moto lakini amepewa utashi wa kuamua nini afanye sifa yakee kuu kupendwa kutukuzwa na BINADAMU kujifanya yeye ni MKUU hadi wakati mwingini kujipachika UUNGU

MALAIKA aneumbwa kwa NURU sifa yake kuu ni kutekeleza kila aloagizwa na mola wake

BINADAMU ndo sisi tumeumbwa kwa UDONGO na UTASHI wa kuamua tumfate IBILISI MWENYEZIMUNGU au tubaki na MALUWELUWE kama wengi wapinga Uwepo wa MUNGU shetani nk ni wale wanaoamini wanachokijua wao na hata humu JF wapo wengi sana bila kujua sifa yetu kubwa sisi ni MAKHARIFA katika DUNIA lkn maskini hatujijui tunapelekweshwa na MAJINNI ambao wana DARJA dogo sana mbele yetu SISI NI MAKHARIFA yaan VIONGOZI katika DUNIA

Kisha ujue ninini maana ya SHETANI
SHETANI ni KIUMBE KILICHO HASI yaan kumkataa MOLA WAKE kwa hiyo tunaona Ushetani ni SIFA YA KIUMBE hata BINADAMU anaweza kuwa SHETANI na SHETANI mkuu kabisa ni IBILISI kwa hiyo hapo tuseme unamzungumzia IBILISI

maana ya SHETANI Km tulivyoona hapo juu KIUMBE kilicho hasi kwa kumkataa MOLA wake naye MOLA akamkataa

story kwa ufupi:-
Hapo kabla kulikuwa na viumbe kabla ya BINADAMU ambao ni MAJINNI ingawa katika Vitabu vyote vya MWENYEZIMUNGU Hawakuelezwa kwa undani ila tunapata kuambiwa baada kufanya UHARIBIFU MKUBWA katika DUNIA yao
MWENYEZIMUNGU akatuma jeshi la malaika kwenda kuwaangamiza wote
Baada kumaliza hiyo kazi na kurudi wakijua wamewaua wote lakini MWENYEZIMUNGU akawaambia bado mmoja yupo sehemu furani amejificha ila msimuue mleteni
ndo huyu sasa IBILISI au JINNI MKUU SHETANI MKUU unayemzungumzia wewe
Mpaka hapa tunaona kuwa IBILISI au SHETANI MKUU alikuwa JINNI na si katika MALAIKA kama wengi wanavyodhania kuwa ni MALAIKA MUHASI
Basi baada kufika mbinguni akawa katika KUNDI MOJA NA MALAIKA akakulia MBINGUNI na katika maisha ya mbinguni akawa MCHAMUNGU kwelikweli kiasi mpaka MWENYENZI MUNGU akawa anampa UPENDELEO na akawa kipenzi chake kwelikweli kwa uchamungu wake hadi akamkabidhi FUNGUO za PEPONI yote ni kwa uchamungu wake ulotukuka
Ushetani ulianza baada MWENYEZIMUNGU kumuumba ADAMU kwa mfano wake aje kuwa KHALIFA katika DUNIA
IBILISI hapo alichukizwa sana kuona ADAMU anamuona anaumbwa tangu UDONGO mpaka kutiwa PUMZI leo yeye awe KHALIFA katika DUNIA na hata alipoambiwa msujudie ADAMU pamoja na MALAIKA IBILISI alikataa akaonyesha sasa tabia zaje za kijinni akasema MIMI NI BORA KULIKO HUYU NIMEUMBWA KWA MOTO YEYE KAUMBWA KWA UDONGO SIWEZI KUMSUJUDIA
Basi tangu hapo mungu akamlaani na akamkataa ba ndipo SIFA YA USHETANI ILIPOMVAA tangu wakati huo mpk kesho QIYAMA
Na kwakuwa akutaka kwenda pekee MOTONI akamuombaa MOLA ampe UHAI mpaka siku ya QIYAMA na akaahudi atasima katikati ya heri na shari atamfanyia FITINA ADAMU na kizazi chake chote kiungane na yeye kwenda MOTONI atataka aende peke yaje

Basi mpaka hapo nadhani utakuwa unaanza kupatapata majibu ya swali lako

next tyme nitakuelezea maisha baada adamu kutiwa pumzi mpk kutolewa pande ya ubavu wake kuja MAMA WA BINADAMU wote hadi namna ibilisi alivyomshawishi mpk kutimuliwa EDENI hadi namna walivyo shushwa duniani wote wa tatu sehemu waliposhukia ambapo sasa panaitwa vipi na vipi walivoishi mpk ADAMU kukutana upya tena na HAWA ni sehemu ambapo sasa panaitwaje na Jinsi gani IBILISI alivyoiendesha CHUKI dhidi ya ADAMU na kizazi chake mpka Kusurvive katila GHARIKA ya NUU na mengne mengi so twende step by step kwa maelezo yakinifu
hadi tutafikia kwenye msingi wa swali lako

Chanzo ni kwa msaada wa QURAN (Kitabu kisicho na hata na chembe ya shaka ndani) pamoja na HADITHI za MTUME MUHHAMAD NA MASWAHABA WAKE
 
Miss moro malizia bana, linalowezekana leo lisingoje kesho, naona story yako nzuri kweli
 
Niambie unapokopi nikasome mwenyewe sitaki kuhadia

Tunaenda taratibu mkuu hapo nimemuelezea IBILISI kwa mujibu wa mafundisho ya UISLAM
Hivyo tutakuja nitamuelezea kwa mujibu wa BIBLIA na UKRISTO unavyomtanabaisha IBILISI then tutapima UZITO kisha tutasonga mbelembele hatua kwa hatua tuelekezane vema mana kuna upotoshaji mkubwa kuhusu IBILUSI na chimbuko lake HALISI

Nimecopy kutoka katika QURANI mkuu na HADITHI za mtume na maswahaba wake nimefundishwa na MAALIM wangu SULEIMAN OMARY wabagamoyo karibu sana
Mimi sijabeba mtandaoni nimefundishwa nikahifadhi na ninafanyia utafiti na ninazidi kujifunza mpaka pumzi yangu ya mwisho
 
Ahsanteee miss moro
Unitag eee
Andika Mondray ukianza na @ bila kuacha nafasi
 
Mimi sijashika dini lakini nitakupa majibu kwa uelewa wangu:

Shetwani ndie wa kwanza kushushwa hapa town, na hakushushwa kwa utaratibu mzuri.... Alizingua kule juu akataka kumpindua Mungu akaona isiwe tabu ndo akamteremsha fasta. Na ndo maana utaona hata katika mazungumzo ya Eva na shetwani, shetwani ndo alionekana kujua jografia ya garden kuliko Eva...

NB. Kumbuka huyu bwege ni bonge la msanii, akiamua kuimba hapa wote tutaingia kwenye show. Na ndo maana anawagawia wasanii wa music sehemu tu ya kipaji chake. Unachotakiwa Kufanya ni kukiri tu kuwa unamwaminia.

Alikuwa anamwimbia Mungu Huko juu na ndo maana kila ambaye anajitokeza kujifanya anamwimbia Mungu na akawa Hana msimamo lazima ile kwake Kiimani. Angalia waimba injili wetu na maisha Yao ya kila siku..

Huyu Jamaa ni mazafanta.
Nimecheka Midnight
 
Kwanza ujue kutofautisha
JINNI
MALAIKA NA
BINADAMU

JINNI ni kiumbe aloumbwa kwa moto lakini amepewa utashi wa kuamua nini afanye sifa yakee kuu kupendwa kutukuzwa na BINADAMU kujifanya yeye ni MKUU hadi wakati mwingini kujipachika UUNGU

MALAIKA aneumbwa kwa NURU sifa yake kuu ni kutekeleza kila aloagizwa na mola wake

BINADAMU ndo sisi tumeumbwa kwa UDONGO na UTASHI wa kuamua tumfate IBILISI MWENYEZIMUNGU au tubaki na MALUWELUWE kama wengi wapinga Uwepo wa MUNGU shetani nk ni wale wanaoamini wanachokijua wao na hata humu JF wapo wengi sana bila kujua sifa yetu kubwa sisi ni MAKHARIFA katika DUNIA lkn maskini hatujijui tunapelekweshwa na MAJINNI ambao wana DARJA dogo sana mbele yetu SISI NI MAKHARIFA yaan VIONGOZI katika DUNIA

Kisha ujue ninini maana ya SHETANI
SHETANI ni KIUMBE KILICHO HASI yaan kumkataa MOLA WAKE kwa hiyo tunaona Ushetani ni SIFA YA KIUMBE hata BINADAMU anaweza kuwa SHETANI na SHETANI mkuu kabisa ni IBILISI kwa hiyo hapo tuseme unamzungumzia IBILISI

maana ya SHETANI Km tulivyoona hapo juu KIUMBE kilicho hasi kwa kumkataa MOLA wake naye MOLA akamkataa

story kwa ufupi:-
Hapo kabla kulikuwa na viumbe kabla ya BINADAMU ambao ni MAJINNI ingawa katika Vitabu vyote vya MWENYEZIMUNGU Hawakuelezwa kwa undani ila tunapata kuambiwa baada kufanya UHARIBIFU MKUBWA katika DUNIA yao
MWENYEZIMUNGU akatuma jeshi la malaika kwenda kuwaangamiza wote
Baada kumaliza hiyo kazi na kurudi wakijua wamewaua wote lakini MWENYEZIMUNGU akawaambia bado mmoja yupo sehemu furani amejificha ila msimuue mleteni
ndo huyu sasa IBILISI au JINNI MKUU SHETANI MKUU unayemzungumzia wewe
Mpaka hapa tunaona kuwa IBILISI au SHETANI MKUU alikuwa JINNI na si katika MALAIKA kama wengi wanavyodhania kuwa ni MALAIKA MUHASI
Basi baada kufika mbinguni akawa katika KUNDI MOJA NA MALAIKA akakulia MBINGUNI na katika maisha ya mbinguni akawa MCHAMUNGU kwelikweli kiasi mpaka MWENYENZI MUNGU akawa anampa UPENDELEO na akawa kipenzi chake kwelikweli kwa uchamungu wake hadi akamkabidhi FUNGUO za PEPONI yote ni kwa uchamungu wake ulotukuka
Ushetani ulianza baada MWENYEZIMUNGU kumuumba ADAMU kwa mfano wake aje kuwa KHALIFA katika DUNIA
IBILISI hapo alichukizwa sana kuona ADAMU anamuona anaumbwa tangu UDONGO mpaka kutiwa PUMZI leo yeye awe KHALIFA katika DUNIA na hata alipoambiwa msujudie ADAMU pamoja na MALAIKA IBILISI alikataa akaonyesha sasa tabia zaje za kijinni akasema MIMI NI BORA KULIKO HUYU NIMEUMBWA KWA MOTO YEYE KAUMBWA KWA UDONGO SIWEZI KUMSUJUDIA
Basi tangu hapo mungu akamlaani na akamkataa ba ndipo SIFA YA USHETANI ILIPOMVAA tangu wakati huo mpk kesho QIYAMA
Na kwakuwa akutaka kwenda pekee MOTONI akamuombaa MOLA ampe UHAI mpaka siku ya QIYAMA na akaahudi atasima katikati ya heri na shari atamfanyia FITINA ADAMU na kizazi chake chote kiungane na yeye kwenda MOTONI atataka aende peke yaje

Basi mpaka hapo nadhani utakuwa unaanza kupatapata majibu ya swali lako

next tyme nitakuelezea maisha baada adamu kutiwa pumzi mpk kutolewa pande ya ubavu wake kuja MAMA WA BINADAMU wote hadi namna ibilisi alivyomshawishi mpk kutimuliwa EDENI hadi namna walivyo shushwa duniani wote wa tatu sehemu waliposhukia ambapo sasa panaitwa vipi na vipi walivoishi mpk ADAMU kukutana upya tena na HAWA ni sehemu ambapo sasa panaitwaje na Jinsi gani IBILISI alivyoiendesha CHUKI dhidi ya ADAMU na kizazi chake mpka Kusurvive katila GHARIKA ya NUU na mengne mengi so twende step by step kwa maelezo yakinifu
hadi tutafikia kwenye msingi wa swali lako

Chanzo ni kwa msaada wa QURAN (Kitabu kisicho na hata na chembe ya shaka ndani) pamoja na HADITHI za MTUME MUHHAMAD NA MASWAHABA WAKE
Asante
 
Mungu alimuumba adam na kumuweka katika bustani ya eden. Katika bustani hiyo aliweka malaika (seraffin, & kerubim) wailinde bustani hiyo. Hao malaika walipewa jukumu la kulinda bustani hiyo dhidi ya malaika aliyeasi, yaani shetani. Kwa hiyo Adam anasubiri sana tu kwa shetani. Haina haja ya references zaidi ya hapa
Kwa mujibu wa misaafu ya kidini?
 
Mkuu hii habari ya shetani kutaka kumpindua mungu nina Mashaka nayo, ni one sided story,hakuna mtu anaejali kutafuta upande wa pili ( wa shetani) ukoje, hatendewi haki kabisa
Unaruhusiwa kuhoji kuhusu shetani tu, kuhusu Mungu unakukufuru,

By the way hiyo ni stori ya wanadini dini tu, haina ukweli
 
Ni kweli Bustani ilikuwa ikilindwa na malaika. Kumbuka shetani ni mwerevu sana mwenye maarifa mengi, anaja siri karibu zote za mungu. alishawahi kuwa malaika mkuu na msaidizi mkuu wa mungu. Sasa siku ya tukio aliwahadaa wale malaika walinzi wa bustani (maserafi) akaingia bustanini bila wao kumuona. hapo shetani akawahadaa adam na hawa. fahamu pia kwamba hao malaika waliowekwa kulinda bustani hawana nguvu sana kama akina malaika Gabriel au Mikaeli waliopewa nguvu za kumshinda na kumfukuzia mbali shetani. hata hivyo hao malaika waliokuwa wakilinda bustani ya eden kwa sasa wako mbinguni karibu na kiti cha enzi anapokaa mungu, kazi yao kuabudu kwa kuinama na kupiga magoti mbele za mungu masaa yote (sijui ndo azabu waliopewa kwa kushindwa kumzuia shetani, mimi hili sijui). Wale wenzao (makerubi) kazi yao ni kuimba nyimbo huko mbinguni. Nyimbo hizi ni za kumsifu mungu na wanaimba mda wote (inasadikiwa hawali wala kulala).
Kwahiyo shetani ni mjanja kamzidi hata mungu na walinzi wake? Sasa kama mungu na malaika wake wamemshindwa shetani sasa binadamu ndio watamuweza huyo shetani? Wanakaonea bure kiumbe dhaifu kabinadamu
 
Back
Top Bottom