Nimetembea kimapenzi na dada yangu wa damu, ninaomba ushauri

hii story ni movie ya tino ulicho fanya umeongeza vitu vichache na kubadili wahusika kweny movie kaka ndo anamualibia dada na ataki dada aolewe!!
 
By darasa la Mapenzi
Tumshauri huyu kijana tafadhali

Marafiki habari za kuhaingaikaKwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbaniTulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisiniTukiwa form six, nadhan tulikua tumefunga shule tukiwa home, Dada yangu aliletewa mkanda Wa kikubwa na Rafiki yake baada ya Rafiki kuondoka tukawa tunauangalia sielewi ni nini kilitupata tukajikuta tumezini, mm kwangu ilikua ni Mara ya kwanza ila nadhan mwenzangu alikua tayari keshafanya huko nyumaIkawa kila siku tunafanya wazazi wakiondokaKuja kustuka haoni siku zake akamwambia mama naye akamwambia babaSijui niwaeleza lugha gani muweze kuelewa kilichotokeaIlikua ni mtiti akaambiwa aeleze ni nani aliempa mimba akawa anasingizia wanafunzi wenzie shuleni, wakifika shule anababaika anashindwa kutaja basi akafukuzwa shule hata mtihani Wa mwisho hakufanyaWakati hilo halijaisha biashara za Mzee zikaanza kuyumba vibaya vibaya na alikua na deni kubwa sana benki wakaja kuuza nyumba tunayokaa bado haikutoshaNyumba tuliyohamia ikapigwa mnada piaMzee akapata stroke, tukaanza kuhangaika nae kila hospital,Mtihani Wa mwisho ulipofika sikuweza kufanya kitu nilikua naangalia tu makaratasi maana tulitoka maisha ya juu ghafla tukaporomoka hadi chini ndani ya miezi 9-12Mzee akawa amefariki tukaenda kuzika kijijiniHakukua na chochote kilichobaki mjini si nyumba niniTumezika kama Leo wiki moja mbele Dada akajifungua mapacha Wa kiume kama sisi tulivyo mapachaBaada ya ndugu kutawanyika na miezi minne kupita tukiwa bado kijijni maana tulipanga tuishi huko huko mjini hatukua na chochote mama aliniita akaniambia niende mjini nikaangalie matokeo yangu ndipo tunaweza kupanga tufanye nnMatokeo yalikua mabayaUsiku mmoja mama na babu wakaniita babu akaniambia chukua hawa ngombe ukauze wote utuachiewatano tuHii ndio mali pekee Mzee wako alioacha, walikua ngombe 200Nikapewa baba zangu wadogo tukaenda mnadani tukauza nikapata pesa nyingi mnoNikaja dar kutafuta maisha na kiasi hicho cha pesaNikawa nanunua ngombe mkoani naleta dar hadi mtaji ukaongezeka mara tatuNikafungua biashara zingine na nikanunua kiwanja boko na nikajengaNikarudi kijijini nikamchukua Dada yangu na watoto had I mkoani wakiwa na miaka mitano nikampangia nyumba na kumfungulia biashara lengo ni watoto waanze la kwanza hivyo walitakiwa maandalizi ya nurseryMama tulimwacha kijijini alikataa kabisa kuja mjiniSiku moja tuliagiza pombe walau tusherehekee mafanikio maana hatukumini kama tungefika hapoBaada ya kunywa sana nikaona nikalale akanifuata chumbani na kuanza romance nikamzuia nikamwambia hatupaswi kurudia kosa hili, tushukuru huenda ni mpango Wa mungu Mzee kufariki kabla hajajua mm ndio nilikupa mimbaNa bado hatujui siku mama akijua itakuajeAkaniambia yeye hataki mwanaume mwingine zadi yangu na kwamba ananipenda mm tuNakuja kustuka hivi na boxer na vest ameshavitoa huku akiendelea na zoezi moyo wangu ulishakataa ila mwili ukawa dhaif tukawa tumeziniTangu hapo huwa anakuja dar tunafanya nashindwa kuresist ile pressureNikapata msichana mmoja dar alipokuja dar akatukuta nae kwangu alifanya fujo na kumpiga vibaya yule binti hadi majirani wakaniambia kumbe ulishaoa husemi, mi nashindwa kuwajibuNikapata demu mwingine Dada yangu alipokuja akakagua simu akaona SMS za mapenzi akampigia akamtukana sana akamwambia yule demu eti nimeoa na nna watoto wawili demu akakimbia kimojaNimepata Dada mmoja Wa benki tunapendana sana na tumepanga kuishi pamoja lakini kikwazo ni Dada yanguAkigundua tu ni balaaSijui nimwambie huyu banker in advance kuhusu ili tatizo?Marafiki naombeni ushauriMaana mama mwenyewe anataka nioe nitulieDada anasema nisijidanganye kuoa ni kazi bureNikimwambia tafuta mtu wako na wewe uolewe hanielewiNifanye nini?Naogopa laana
hii thread ilishaletwa hapa mwaka 2009..itafute utaikuta.. na ni hadithi imetungwa..
 
Dada yako ameathirika ki saikologia na hatakupa amani katika maisha yako. Ni lazima aelewe kuwa alichofanya hakikubaliki katika jamii. Mnabahati sana kupata watoto wenye afya njema, watoto wa kuchangia vinasaba wanapata magonjwa ya ajabu.
 
Hii niliwahi kuiona somewhere na mleta mada pia aliendelea kusema kua walikua wanaliendeleza lile penzi la Dada na Kaka,sasa hii ya leo imekuja kivyengine,jamani msituchanganye mwambie mama yako atakuelewesha what to do..
 
Laana tayar unayo.. Sasa unataka ulaanike mara ngapi.
Incest sex ni laana.
 
Wakuu kwani aloyepangaga huu utaratibu wa kutokumuoa ndugu yako ni nani?

Au kama kuna madhara yeyote yanayoweza kutokea iwapo ukimuoa ndugu yako ? Tofauti na Laana maana jibu kubwa ni hilo watu wanajibu kiimani na sio facts

Mkuu kama vipi muoe tuu Maisha yaendelee.
 
Wakuu kwani aloyepangaga huu utaratibu wa kutokumuoa ndugu yako ni nani?

Au kama kuna madhara yeyote yanayoweza kutokea iwapo ukimuoa ndugu yako ? Tofauti na Laana maana jibu kubwa ni hilo watu wanajibu kiimani na sio facts

Mkuu kama vipi muoe tuu Maisha yaendelee.
Kuchangia vinasaba ni hatari kwa kuzaa watoto wenye matatizo
 
Kwanza hujui kuandika ndio maana ukamzini pacha wako,pili hujataja kijiji mlichotoka ila wauza ng'ombe ndio hawa hawa walioko madarakani
Sasa basi nini kifanyike?
Endelea kumsugua gaga huyo pacha wako na siku ya mwisho kule kwa Allah utajua kwa nn cc wauza ng'ombe tumemchagua mama wa ACT kwenda kua mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
 
Laana zote zipo hapa mkuu. Soma kisha mlilie Mungu wako atakusamehe maana yeye ni mwingi wa rehema. Usirudie tena...

Kumbukumbu la Torati 27:1-26

1 Na Musa pamoja na wanaume wazee wa Israeli wakawaamuru watu, na kusema: “Kila amri ninayowaamuru ninyi leo, itashikwa.
2 Na itatukia kwamba katika siku ambayo mtavuka Yordani kuingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, utajiwekea pia mawe makubwa na kuyapaka chokaa.
3 Nawe utaandika juu yake maneno yote ya sheria hii utakapokuwa umevuka, ili uingie katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, nchi inayotiririka maziwa na asali, kulingana na yale ambayo Yehova Mungu wa mababu zako amesema nawe.
4 Na itatukia kwamba mtakapokuwa mmevuka Yordani, mtayasimamisha mawe hayo, kama ninavyowaamuru ninyi leo, katika Mlima Ebali,+ nawe utayapaka chokaa.
5 Pia utamjengea Yehova Mungu wako madhabahu huko, madhabahu ya mawe. Usitumie chombo cha chuma juu yake.
6 Kwa mawe mazima utaijenga madhabahu ya Yehova Mungu wako, nawe utamtolea Yehova Mungu wako matoleo ya kuteketezwa juu yake.
7 Nawe utatoa dhabihu za ushirika na kuzila huko, nawe utashangilia mbele za Yehova Mungu wako.
8 Nawe utaandika juu ya mawe hayo maneno yote ya sheria hii, na kuyafanya yawe wazi kabisa.”
9 Ndipo Musa na makuhani Walawi wakasema na Israeli wote, na kuwaambia: “Kaa kimya, usikilize, Ee Israeli. Leo umekuwa kikundi cha watu wa Yehova Mungu wako.
10 Nawe uisikilize sauti ya Yehova Mungu wako na kutimiza amri zake na masharti+ yake, ninayokuamuru leo.”
11 Naye Musa akaendelea kuwaamuru watu katika siku hiyo, na kusema:
12 “Wanaofuata ndio watakaosimama ili kuwabariki watu kwenye Mlima Gerizimu wakati ambapo mtakuwa mmevuka Yordani: Simeoni na Lawi na Yuda na Isakari na Yosefu na Benyamini.
13 Na wanaofuata ndio watakaosimama kwa ajili ya laana kwenye Mlima Ebali: Rubeni, Gadi na Asheri na Zabuloni, Dani na Naftali.
14 Nao Walawi watamjibu kila mtu wa Israeli na kusema kwa sauti iliyopaazwa:
15 “‘Amelaaniwa mtu ambaye anafanya sanamu ya kuchongwa au sanamu ya kuyeyushwa, kitu kinachochukiza kwa Yehova, kilichotengenezwa kwa mikono ya mfanyakazi wa mbao na chuma, na ambaye amekiweka mafichoni.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
16 “‘Amelaaniwa yule ambaye humtendea baba yake au mama yake kwa dharau.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
17 “‘Amelaaniwa yule ambaye huisogeza nyuma alama ya mpaka wa mwenzake.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
18 “‘Amelaaniwa yule ambaye humpotosha kipofu njiani.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
19 “‘Amelaaniwa yule ambaye hupotosha hukumu ya mkaaji mgeni, mvulana asiye na baba na mjane.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
20 “‘Amelaaniwa yule ambaye hulala na mke wa baba yake, kwa sababu ameufunua upindo wa nguo ya baba yake.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
21 “‘Amelaaniwa yule ambaye hulala na mnyama yeyote.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
22 “‘Amelaaniwa yule ambaye hulala na dada yake, binti ya baba yake au binti ya mama yake.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
23 “‘Amelaaniwa yule ambaye hulala na mama-mkwe wake.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
24 “‘Amelaaniwa yule ambaye kutoka mafichoni humpiga na kumuua mwenzake.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
25 “‘Amelaaniwa yule ambaye hukubali rushwa ili kuipiga na kuiua nafsi, wakati ambapo hiyo ni damu isiyo na hatia.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
26 “‘Amelaaniwa yule ambaye hatayatimiza maneno ya sheria hii kwa kuyafanya.’ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)
 
Ongera umepata mke ambaye ni Dada yako
Mwambie mke dada yako aongeze wivu
 
Back
Top Bottom