Alikamatwa Kwa Kosa Gani Kwanza??? Besides Inasikitisha Sanaa Kijana Mdogo Na Ndio Kwanza Anatafuta Maisha Na Kwa Kazi Halali.... R.I.P Young Warrior.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahid wa yy kuiga weka hapa kwanza, pili yy ni real kwa sababu anaishi atakavyo yy sio watakavyo watu! Unafaham pesa zake anakowekeza au zinapokwenda? Pili hao babu tale watu wa hovyooo sanaaa mbona before hawakusema hayo? Tabia za kidemu hizo wangekaa kimya watu wakajionea wenywe.
Yawezekana Ameibiwa Lakin.... Ni Pesa Ilio Chini Ya Laki 7 Na Inamuuma. Labda Kaamua Kusema Laki 7 Hili Kupata Attention Lakini Ela Aliyoibiwa Ni Chin Ya Laki 7! Mtazamo Huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.