Recent content by Erick_Otieno

  1. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

    hatimae muhenga leo umetipatikana yaani #MaraPaap
  2. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

    Usiongee usilolijua... and of course source ya taarifa zako ni mitandao Kwahyo ww ni mdaku tu na shabiki. Dai ni jina ndo linalotumika kubrand na kupromote vya watu, hana chake na bila salalamu sk dogo bado choko tu Perfume ni ya Kusaga, Karanga ni za Muhindi, Nyumban south ni za Zari...
  3. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Rapa Lil Wayne kwa sasa anadondoka kifafa, aahirisha show baada ya kudondoka

    Umeandika utadhani unamjuaaaa kumbe umeokoteleza vihabari hahaha Kifafa cha Wayne ni tangu ndogo, na juzi hakuanguka jukwaa alikutwa hana fahamu hotelini. Shenztype
  4. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Kwanini DJs hupiga nyimbo za kizamani kwa muda mrefu?

    Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda? Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi... Nipo hapa Maisha Club makumbusho, jamaa anapiga old schools tu mwanzo mwisho yaani hadi elfu 10 yangu ya mlangoni inaniuma.
  5. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa kuwa na nguvu kuliko mawaziri ni tishio kwa usalama

    kwa akili yako unadhani hakuna mkuu wa mkoa ambae ni usalama??? Haha
  6. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Alikiba "Seduce Me" una kitu gani special?

    taja jina la huyo msanii wa kikorea na jina huo wimbo tumfukunyue...but uhalisia ni kwamba mkorea huyo kaimba cover ya Seduce Me. nyambafu
  7. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes, Mwana yaibuka

    HIVI MNAPOSEMA "DUNIANI NA AFRICA" ILI HALI KUNA MWANADADA TAYLER SWIFT AMBAYE ANA KICHUPA CHA "LOOK WHA YOU MADE ME DO" CHENYE VIEWS MILIONI 120+ TUWAELEWEJE? acheni kufabricate news.
  8. Erick_Otieno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni viwanja gani kuna Live Band ijumaa ya leo hapa Dar?

    Muziki wa dansi
  9. Erick_Otieno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni viwanja gani kuna Live Band ijumaa ya leo hapa Dar?

    Hodiii, Ni wapi kuna live band Eid ya leo ijumaa hapa mujini:) ? Nzuri zaidi ikiwa haina kiingilio but descent location. Thanks
  10. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

    Wasije umbuka
  11. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

    Wa kwanza mimi.... MUNGU ni wewe na sio Yesu au dogo Muhamedi. Dini ni industry km ulivyo PR, Muziki au Uwakili na ina maadili yake ndio maana Mchungaji au Askofu hufanywa mfano akizini japo in private life yeye ndo mla waumini. Wacha niishie hapa ili angalau nifike 2020 nione mtanange.
  12. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

    Ila watu mnapambana kwa hoja humu ndani mpaka raha...shilawadu nawaona nawaonaaa cc Miss Natafuta #MalkiaWanguWaNguvu
  13. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

    "tulio wengi" na huna like hata moja
  14. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Business Partner Wanted: Simba vs. Kiba project proposal

    Thank you. Keep wasting More. Pepsi. We Care
Back
Top Bottom