Recent content by Erick the future

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada FOREX

    Whatsapp me 0714132075
  2. E

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Kwa ufupi sana... In 1999 Kabwe joined the University of Dar es Salaam and earned a Bachelor of Arts degree in Economics in 2003. After working for 6 years, Zitto enrolled at Bucerius Law School located in Hamburg, Germany where he graduated with a Master of Law and Business degree (MLB) in 2010.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Una swali la uchumi au maswala ya kifedha?

    Safi sana...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini sauti ya Diamond Live ni mbaya lakini nzuri kwenye nyimbo tofauti?

    Sikia kwa nijuavyo mie kwa wasanii, hasa katika ishu ya mashairi wao wana kitu wanaita POETIC LICENSE.. Yani badala ya kusema aliniambia, au unanitekenya, wao wanaruhusiwa kusema labda unaitekenyaga, alinimbiaga ili kuleta usawa katika vina na mizani... Umenipata?
  5. E

    JamiiForums Tanzania NICKON 3000D FOR SALE

    Nickon camera 3000D inauzwa iko katika hali nzuri, imetumika wiki moja tu.... Specifications zake na picha apoo chini unaweza kucheki... Bei ni Laki7 kamili, Bei inapungua kwa alie serious.... Unaweza kunicheki whatsapp 0714132075
  6. E

    JamiiForums Tanzania NICKON CAMERA 3000D FOR SALE...

    Nickon camera 3000D inauzwa iko katika hali nzuri, imetumika wiki moja tu.... Specifications zake na picha apoo chini unaweza kucheki... Bei ni Laki7 kamili, Bei inapungua kwa alie serious.... Unaweza kunicheki whatsapp 0714132075
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu mama Ndalichako sikia haya

    Umetoa jibu rahisi sana kwenye suala gumu.... Naheshimu mawazo yangi, ingawaje!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa uma kutoka serikali ya wanafunzi UDSM

    So sa yani... Seriously inasikitisha mazeee... Sio ya kuichukulia poaa kabisa hii
  9. E

    JamiiForums Tanzania Loan Allocations for SUA First Year Students in Academic year 2016/2017

    Naona means test imechukua mkondo wakeeeee
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Wanazinguaaa sana hao wanaojita bodi ya mikopo
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    hahahaah.... Ni shida ndugu, itabidi na wewe uwalipe kama utakavyo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Swali langu kwa bodi ya mikopo, naona hizo pesa mnatukopesha kama mtakavyo....Na sie mtuache wakati wa kurudisha turudishe TUTAKAVYOOOOOOOOOOOOOO!.. Maana hamna namna...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy note 3 inauzwa bei chee

    Kwa yeyote anaehitaji smartphone.. Kuna samsung galaxy note 3 inauzwa, iko katika hali nzuri sana, Bei ni 300,000.......Bei inaweza ikapungua.... Kwa yeyote anaehitaji, whatsapp 0714132075..
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepatwa jamani, naombeni ushauri wa kunitia moyo.

    Hiyo ni KARMA imekurudia...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Inafahamika kabisa kwamba mwanafunzi aliefaulu kutoka diploma au high school kwenda chuo atahitajika ku apply mkopo ili uje kumsaidia katika school fees, accomodation na mambo mengine kama hayo. Na katika wanafunzi wanaofanikiwa kufaulu kwenda chuo huwa ni wote, nikimaanisha kuwa awe wa arts...
Back
Top Bottom