Jay2525
Member
- Mar 5, 2014
- 68
- 121
Ndugu wana jamvi leo kwa namna ya pekee nimeguswa na nukuu ya mwanasayansi albert Einstein ''The world is a dangerous place to live, not because of the people who are evil, but because of the people who don't do anything about it.”
Kwakuwa mimi ni mwanazuoni niliyebobea kwenye masuala ya uchumi na fedha nimeona nisikae kimya. Bali nitumie maarifa na elimu nilio nayo kwa lengo la kuwaelimisha wenzangu pia. Hivyo nakaribisha maswali yote yanayo husu maswala ya uchumi au fedha popote duniani nitayajibu kiufasaha.