Mimi sina tatizo sana na wenye mashaka
Na kuhusiana na hilo
Serikali imepiga hatua kubwa
Wenye mashamba wanapata haki yao bila shida.
Na kwa mjibu wa sheria hata kama uko na PML
Lazima mkae chini na mwenye shamba mkubaliane
Na hata msingi wa hoja zangu
Ni;
1. Mfumo wa utoaji wa Leseni hasa...
Hoja yako haina mashiko ndugu
Lete hoja hapa mezani tuijadili.
Sheria yoyote ya Tanzania inatakiwa iangalie maslahi mapana ya Taifa.
Lakini pia Serikali inao wajibu wakuwaelimisha Wananchi kuhusiana na sheria mbalimbali.
Je, ni wangapi wenye Leseni za Utafiti wamezifungia Kabatini tu!
Je...
Nimalizie kwa kusema kuwa
Tunao viongozi wa vijiji,pamoja na kata
Lakini pia tunavyombo vya Dola vyenye watu waadilifu, ukiondoa mapungufu ya watumishi wake wachache
Tuvitumie vyombo hivi kiuchumi
Ikiwemo sehemu za migodi ya wachimbaji wadogo.
Kipindi mgodi umechanganya kuna siku moja nimewahi...
Ushauri wangu kwa Mheshimiwa Raisi
Mama Samia.
**Atutembelee wachimbaji wadogo site kabisa tuweze kutoa maoni yetu lakini pia ushauri wetu, aweze kusikiliza kero zetu pamoja na malalamiko yetu
****Baada yakututembelea atachukua majina ya wachimbaji kabisa wachache kila mgodi kwa niaba ya...
Lakini pia kuna kitu kinaitwa Usimamizi
Upande wa migodi yawachimbaji wadogo wa madini ya Dhahabu
Haya mambo mimi nilitegemea kuwa yangefanyika miaka 1960 ni ajabu kubwa mno kuona yakifanyika hata baada ya miaka 50 ya Uhuru.
Iko hivi mgodi wa wachimbaji wadogo wa Dhahabu ukigundulika mara...
Pamoja na Juhudi kubwa zilizofikiwa na Serikali ktk Sekta ya Madini mimi naomba nikiri kuwa Bado kuna changamoto kubwa mno,
Bahati nzuri nimezaliwa katika familia ya Wachimbaji wa madini ya Dhahabu
Nimekulia ktk familia hiyo
Mungu sio Athmani Mwaka 2019 Shamba la Baba yangu Mzazi...
Kuna Jamaa yngu yeye alikuwa kwenye Bus la Ally's amekuta ajali ya Bus la Takbiir linalofanya safari zake kati ya Geita na Dar es salaam likiwa limepata ajali Mkoani Singida, kona ya Hingu
Kama una ndugu au Jamaa ambaye alikuwa anasafiri leo naomba ufanye mawasiliano.
Bus lilikuwa linatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.