Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,115
Wakubwa naombeni kujua Muongozo wa kupima DNA ya mtoto.
Mtoto huyu kwa tabia ya kuudhi ya mama mtu tumekuwa tukimuhudumia wa baba wawili. Baada ya kujulikana ukweli naona anakimbilia kuliko kuzuri.
Naomba kujuzwa kuwa utaratibu ukoje hospital za Government ama Hospital za Private.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app