Ili iweje sasa? Acha kufuatilia maisha ya watu. Wewe inakuhusu nini, huyo aliomuoa? Jaribu kujadili mambo na siyo kujadili watu, itasaidia zaidi wana JF kuwekeza muda wao vizuri, kwa maana ya kujielimisha zaidi maana nina hakika hili ndio lengo kuu la wana JF wengi na sio kujadili maisha ya...
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana...
Kwa uzoefu wangu, was maika kadhaa sasa kwa kweli sijawahi kuona wala kusikia mwanaume akisimulia wanaume wenzake kuhusu jinsi mke wake anavyomfurahisha au anavyomkera. Mara nyingi labda wanaweza kuzungumza mambo hayo wakati akiwa na girlfriend lakini akishaoa habari hizo hufutika kabisa. Hata...
I am afraid that most of the things you are talking about are not stereotypes, i.e Maasai being tall, and Wahaya being dark in complexion. Do you really understand the meaning of the word ''stereotype''? Please think again about your thread and bring it afresh for further discussion if you wish...
The truth is, as you rightly say is the issue of culture. In our society, those things happens alot but because of the culture its not not something that the society will find appealing as a reason for divorce, so in most cases when people fall out of love, they just stay and they dont say it...
Nafikikiri Shigongo ametoa ushauri mzuri tu kwa hao madogo, kwa sababu sio vizuri hata kidogo kufanyie mizaha kwenye TV hali za maisha za watu. This is a very sensitive issue which leaves other people embarrased and feeling down. Mtu kama mambo yake hayamwendei vizuri sio wa kumdhihaki hata...
Its a very nice article and well articulated. You think about it and you realise however horrible it may be, but its mostly true. Isn't it? A signficant portion of what is written in the article is suprisingly true in a country where outsiders believes affluence and peace is widespread...
Petu hapa, mimi nafikiri kwamba binadamu kwa nature yetu tulivyo ni waroho,tunapenda kujilimbikizia mali na ufahari. Hivi ndivyo tulivoumbwa. Kwa hiyo tusije tukakaa tunaomba eti tuje tupate mtu mwenye uchungu na nchi na ambayo yuko tayari kufanya mapambano na mafisadi. Tutaomba sana. Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.