Recent content by Ephraim fundi umeme

  1. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Ubungo Kibangu umeme unasumbua

    Wadau! Walioko ubungo Riverside na kibangu yote (kwa mzee wa upako) hii sasa ni kero jamn kila wakati mgao sehemu hii tu hasa wakati wa usiku? Ama kuna siri gani nyuma ya pazia? Sasa najiuliza hii ubungo ni kubwa sana lakin eneo moja tu kila wakati tena usiku? Nikero kwasababu kwa mazingira...
  2. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule nzuri ya Udereva Dar es Salaam

    Lkn nasikia veta imetoa leseni kwenye hivi za mtaani ama hakuna ukweli?
  3. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule nzuri ya Udereva Dar es Salaam

    Ada yao ikoje kaka?
  4. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule nzuri ya Udereva Dar es Salaam

    Hello! Habari za usiku wakuu, poleni na hongereni kwa mapambano ya kila siku. Leo nimekuja kwenye jukwaa hili niombe ushauri ambao unaweza ukanisaidia mimi na watakaokuja huko baadae. Mimi ni kijana umri miaka 24 elimu yangu niyakawaida tu baada ya secondary chuo cha umeme (VTC) na kwabahati...
  5. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Nataka gari nifanye tax driver

    Habari ndugu zangu... Nahitaji boss wakunipa gari yake niendeshe nimletee hesabu. Naahidi tutaenda vizuri tu wala aside na wasiwasi. Napatikana kerege chama ipo mkoa wa pwani nje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam Tuwasiliane whatsapp 0679194505
  6. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Mchokozi
  7. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Nimesoma IT, Electrical Installation, pamoja na kufunga Camera System, Fire Alarms, Electric Fence, WI-FI setup - natafuta kazi

    Habari za jioni waungwana. Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi. Napatikana mkoa wa...
  8. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mtaji unaotosha kufungua duka la vifaa vya umeme

    Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III. Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing. Changamoto...
  9. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejua kunifurahisha
  10. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Ephraim Paul

    [emoji23][emoji23][emoji23] hapna nipo moshi mjini
  11. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Ephraim Paul

    Mgeni jf ahsante
Back
Top Bottom