Recent content by ENWYO

  1. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Back to the school

    Nakumbuka niliitwa assemble ili nitoe morning speech,nikachikichia mitini; Kasulu sec mpoooo!
  2. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Pombe na wanawake chepi ni chanzo cha humasikini?

    Umasikini unajiletea mwenyewe;maana wanawake unawafuata mwenyewe then pombe unaifuata mwenyewe baa.
  3. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

    Ndg wana njanvini ni mda sasa nimekuwa nikitafakari na kutafakuri juu ya jina ili adimu MHESHIMIWA(Mh.)Maranyingi nimesikia kwenye vyombo vya habari,bungeni,ata sehemu yeyote ile Mbunge yeyote anapotajwa shart lianzwe neno Mheshimiwa( Mh),Je neno ili lipo kikatiba nakama ni kikatiba ni kifungu...
  4. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

    Ndg,wana njavini ni mda sasa nimekuwa nikitafakari na kutafakuri juu ya jina ili adimu MHESHIMIWA(Mh.)Maranyingi nimesikia kwenye vyombo vya habari,bungeni,ata sehemu yeyote ile Mbunge yeyote anapotajwa shart lianzwe neno Mheshimiwa( Mh),Je neno ili lipo kikatiba nakama ni kikatiba ni kifungu...
  5. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Ninafanye nini nioe?

    Ndege wenye tabia moja uruka pamoja.Bado wewe haujapata ndege unayefanana naye kitabia,Angalia usikosee njia maana unaweza kuwa mwanafalsafa.
  6. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

    Dhambi ni nini? Ni kumtendea mwenzako usichotaka ata wewe utendewe. Mkuu kama unafikiri kuua mwenzako eti ni ushujaa kwa mungu,tambua moto unakungoja kwa hamu.Yakaizali mpe kaizali na yamungu mpe mungu,Ni ndoto kaizali kuudumia mahakama ya kidini.
  7. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

    Dhambi ni nini? Ni kumtendea mwenzako usichotaka ata wewe utendewe. Mkuu kama unafikiri kuua mwenzako eti ni ushujaa kwa mungu,tambua moto unakungoja kwa hamu.Yakaizali mpe kaizali na yamungu mpe mungu,Ni ndoto kaizali kuudumia mahakama ya dini.
  8. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

    Teh,teh,teh,kwi,kwi,ninooooooma.
  9. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

    Wanapigania mahakama ya KADH badala ya ELIMU,Mwisho wa siku wanataka vyeo na nyazifa za juu zitolewe kiuwiani bila kujali Elimu.
  10. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    we need postive changes to police officers and community, not propaganda,We wish you good responsibilitiez,comitement & transparence.
  11. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Unafikiri kwanini kuna sensa?
  12. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Wengi wenu mmeshindwa kufikia malengo;sio kwasababu hamtaki raha sha;ni kushindwa kujua wale wananini na sisi tuwe na nini ili tutegemeane;ukijua utawapa wengine ambao hawajakipata Do good avoid evil.
  13. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Mtumwa ni nani?
  14. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Its your high level of thinking
  15. ENWYO

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Jitambue chukuwa atua;sio misifa mkuu wakifanya vizuri wape eshima zao Education can not make us all to be the leader but can make us all to tell the leader what they suppose to do.
Back
Top Bottom