Recent content by enterprenuer 1974

  1. E

    Pata Chia Seeds kwa bei nzuri

    Kilo 50 kw buku 3 inafaa mkuu? Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  2. E

    Je unahitaji karanga ndogo nyeupe kwa wingi??

    Kama nachukua nyingi utapunguza kidogo ?
  3. E

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Huyu mmbulu ukimtumia hata message hajibu sijui anafanyeje biashara Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  4. E

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Mbegu ya mlonge unauzaje mkuu
  5. E

    Tanzania hakuna umoja wala mshikamano. Unafiki umetujaa vifo vya marubani chipukizi Serengeti vinaakisi

    Hivi ni kweli helicopter ya jeshi ilienda kuchukua mwili wa mmoja tu, au ni maneno tu ya watu , mwenye ushahidi atujulishe.
  6. E

    Nataka kwenda Dubai au China kununua simu nipeni maelekezo mliowahi kwenda

    Nenda china mkuu upate exposure, hata Kama vpi hutakosa bidhaa kidogo za kurudisha nauli yako.
  7. E

    MAFUTA YA NAZI (VIRGIN COCONUT OIL)

    Bei gani unauza lita moja?
  8. E

    Kilimo cha alizeti na biashara ya mafuta

    Hvi gunia moja inaweza toa Lita 25 ya mafuta kweli?
  9. E

    Online purchasing Crdb na Alibaba

    Mkuu usiangalie hiyo exchange rate kwenye sign board, juzi mi nilifanya transfer Singapore lakini pesa iliyokatwa ni nyingi kuliko ile inayoonyesha. Mi nafikiri Kuna hidden charges au rate zao ni tofauti na wanayoweka kwenye kibao.
  10. E

    NAUZA MBEGU ZA MABOGA NA UNGA WAKE..

    Kilo sh ngapi ya pumpkin seeds
  11. E

    SOKO LA KARANGA

    Mkuu karanga unauzaje kwa kilo
  12. E

    Step by step nilivyo agiza bidhaa kutoka AliExpress

    Mi natamani kujua namna ya kulipia kwa visa, card ya equity visa ninayo.
  13. E

    Brand New Samsung Galaxy S6

    Genuine?????
Back
Top Bottom