dorcas_eliud
Member
- Sep 25, 2018
- 23
- 13
Habari wana jf,
Natafuta soko la mafuta ya nazi (virgin coconut oil)
Nipo dar es salaam_tanzania
0692942719
Natafuta soko la mafuta ya nazi (virgin coconut oil)
Nipo dar es salaam_tanzania
0692942719
kakuambia anatafuta soko, maana yake anatafuta watejaSoko ununue au uuze
kakuambia anatafuta soko, maana yake anatafuta wateja
MAFUTA YA NAZI ASILIA KUTOKA ZANZIBAR YANAPATIKANA KWA TZS. 10,000 500ML (NUSU LITA)Bei gani unauza lita moja?
Umevamia thread ya watu, anzisha yakoMAFUTA YA NAZI ASILIA KUTOKA ZANZIBAR YANAPATIKANA KWA TZS. 10,000 500ML (NUSU LITA)
NITAFUTE KWENYE NAMBA: 0757 128 291