CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,870
š„°Soma Uzi vizuri...
Muone
š„°Soma Uzi vizuri...
Muone
Tunatuma kaka
DSM mko wapi?
Vyote vitapita..mlonge utabaki kuwa juuHivi hizi chia seeds zinazo-trend sana kwa sasa, majani ya mlonge, mayai ya kwale, babu wa Loliondo, GNLD na Forever Living ni kipi kilimtangulia mwenzake kuzaliwa?
Hizi chia ni mbegu ziko certified kisayansi na wala si miujiza,zilikuwepo toka enzi sema ni zao toka nje ambalo Africa hatukuwa na utaratibu naloHivi hizi chia seeds zinazo-trend sana kwa sasa, majani ya mlonge, mayai ya kwale, babu wa Loliondo, GNLD na Forever Living ni kipi kilimtangulia mwenzake kuzaliwa?
Sisi wa Arusha jee
Karibuni sana tujenge afya zetu jamani,ziko very clean kwa watumiaji.View attachment 1257338
Ndugu nasubiri unambie lini utaniletea ujue....0683002888
Kwenye nguvu za kike hazisaidii?
Kilo 50 kw buku 3 inafaa mkuu?Pata chia seeds kwa bei nafuu,Tunaendelea kusupply kwa wateja.Kilo moja ni shilingi 5000.Tunasafirisha kuanzia kilo 20.Chia seeds ni mbegu ambazo zinatibu magonjwa mengi kiafya na ni zao linalokua kwa kasi kibiashara,karibuni sana watumiaji na wafanyabiashara, mzigo upo wa kutosha,namba yangu ni 0755748007
View attachment 1232923View attachment 1232924
Nipo Karagwe mkoani Kagera mkuu tunatuma mikoani pia