Recent content by Entareyehirungu

  1. Entareyehirungu

    Waziri wa Nishati na Madini kupatikana leo? Mangu kupelekwa Kilimanjaro?

    Turufu yangu naiweka kwa Mwana-JF mwenye kismati, Kigwangala kupewa Wizara
  2. Entareyehirungu

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Mambo yashaanza kunoga hapa. Shahidi aliishtaki JamiiForum. Kaambiwa aonyeshe cheti cha usajili yakanamtoka macho
  3. Entareyehirungu

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Tundu Lissu, Mtwobyesa, Ishebakaki, na wengine. Jumla wako saba au nane
  4. Entareyehirungu

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Hadi hapa naona Afisa Mpelelezi kaishakosea jina la mtu waliyehitaji jina lake. JF hakuna Fuhra_JF au mtu anaitwa Expert Member.
  5. Entareyehirungu

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Amina Mshana Jr. Wenye imani ziwe za mababu au Mungu, tusiache kuombea ushindi.
  6. Entareyehirungu

    Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

    Utakuwa umesahau ile Rap ya kwanza kuwika Tanzania. Kama sijasahau iliimbwa na Mzanzibar kwa jina Jabir. Ilikuwa na kibwagizo "Sitapenda wengi kama Maumba" Ilikuwa hit moja kali sana zaidi ya vigogo wa dunia enzi hizo Chaka Demus & Shaba Ranks
  7. Entareyehirungu

    Hivi ndivyo hofu zinavyotugharimu kwenye safari ya ujasiriamali

    Nimefurahi kukusoma tena Chasha Ulipotelea wapi Mkuu? Asante kwa somo zuri
  8. Entareyehirungu

    Uwanja wa Michezo au Uwanja wa Vita?

    Hii hali na maandalizi ya askari katika uwanja wa Taifa yanatoa tafsiri tata. Haieleweki ni washabiki wataangalia mchezo wa mpira au vita kati ya majeshi yetu na adui asiyejulikana. Maandalizi ya majeshi yanaonekana kuwa ya juu zaidi kuliko hata timu zilizopangiwa kucheza mechi leo...
  9. Entareyehirungu

    Ushauri kwa Rais Magufuli: Nchi inaenda kubaya, mchukue Prof. Mwandosya kuwa mshauri wako

    Kula [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] Mie nilitaka kumuuliza vipi je kama mshauriwa ndiye anawashauri washauri wake? Hapo unadhani ushauri wa washauri utafanyiwa kazi na washauri watakuwa na maana yoyote?
  10. Entareyehirungu

    Machinga waondoshwa kwa nguvu Mwanza mjini eneo la Makoroboi

    Nilichokiandika tarehe 7 Disemba, 2016 kwenye Rais Awaruhusu Waendesha Bodaboda Pia Wasibughudhiwe! kinatokea kama nilivyokitarajia:
  11. Entareyehirungu

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    List of shame was purely composed and announced on political background. Mambo ya kisiasa si sawa na mambo ya Kiutawala. Ya kisiasa yanajibiwa na kumalizwa kisiasa. Waliotajwa kwenye list of shame walitakiwa wawajibike kisiasa au wajisafishe. Hakuna aliyetakiwa afike Kituo cha Polisi...
  12. Entareyehirungu

    Nyaraka za siri za Mgawe kufungwa hizi hapa

    Wazo makini kwa wakati muafaka. cc: Maxence Melo
  13. Entareyehirungu

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Kasome post ya kwanza kama unatumia simu. Na kama watumia PC rudi juu kabisa update I & II
  14. Entareyehirungu

    Gazeti la Jambo Leo linapatikana bure likiwa na headline "Huyu ni Manji mnayemzungumzia?"

    Unawezaje kununua baiskeli yako mwenyewe unayoimiliki na kuiendesha?
Back
Top Bottom