HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Itabidi tuwe na Uzi malum wa wanasiasa waliondolewa/Kujiuzulu/kufukuzwa kazi/Kufungwa kwa sababu ya JAMIIFORUMS baadae.
JF waliweka huu uzi na nyaraka za SIRI za wachina na mipango yao ya kifisadi na Ephraim Mgawe wa Bandari hapa...
Uzi wenyewe huu hapa CHINI:
NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...
JF waliweka huu uzi na nyaraka za SIRI za wachina na mipango yao ya kifisadi na Ephraim Mgawe wa Bandari hapa...
Uzi wenyewe huu hapa CHINI:
NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...