Recent content by enock yusto

  1. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini apo?

    African leaders Sent using Jamii Forums mobile app
  2. enock yusto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabwili ni kichaa...lakini walio nyuma yake si vichaa

    Ataliwa na kuku Sent using Jamii Forums mobile app
  3. enock yusto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuambiwa "wewe siyo type yangu" baada ya kueleza hisia zako?

    Mi niliambiwa "dah hata wewe unantongoza" Sent using Jamii Forums mobile app
  4. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Ila sio siri, Harris Kapiga wanakera!!

    Remote anashikiwa na baba yake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Muhaya Sent using Jamii Forums mobile app
  6. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Malaika muhaya Bushoke muhaya Abela music muhaya Sent using Jamii Forums mobile app
  7. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

    Umeuliza swali nililotaka kuuliza ila nikasita naongezea aseme ubora wa ruby kwa Nancy ni upi kama ni nyimbo azitaje Sent using Jamii Forums mobile app
  8. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Dah hatari we jamaa umenchekesha balaa ko vp jamaa yako alikua karani kweli au Sent using Jamii Forums mobile app
  9. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Sijui sikumuelewa,amemanisha alitaja kutoa nyuma au kuiba tight? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Nyingine m nilijikuta naenda saba saba kubeba mizigo watu wa maonyesho,kulima mazingira vipande na kupaka rangi japo sio taaluma yangu kipindi cha maandalizi ya sabasaba,pia niliomba kazi ya kusave chakula mgahawani saba saba unakua kama dalali japo sikufanikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Bar maid na kufanya usafi na garden masak na osterbay,vibarua vya ujenzi na kuuza ukwaju wa bakheresa .Kati ya ayo mawili ndo nilifanya kuuza ukwaju wa bakhresa na kuhudumu mgahawani duh mungu huyu ni mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Top 5: Idadi ya watu wanaoishi Dar, wengi wao wanatoka mikoa hii ukiacha wenyeji

    Unaachaje kigoma na kagera Sent using Jamii Forums mobile app
  13. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Tabia kuitana majina mbadala tunapokosa fursa

    Sawa dokita Sent using Jamii Forums mobile app
  14. enock yusto

    JamiiForums Tanzania Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

    M mwezi wa kumi pale bahi dadeki wanauza et chai ya rangi kikombe buku kakombe kenyewe kadogo na kila kitafunwa buku na kupanda sikujua awali nilijikausha sikulipa kwa hasira Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom