kama ni m2 mwaminifu huna haja ya kuficha simu,just try to be smart.home yetu simu yoyote itakayo ita mtu aliopo ataibokea na sijawahi kuona m2 analalamika eti fani kapokea cmu ake .Ukiwa mwaminifu utakuwa huru huwezi kuwa na wasiwasi na simu ako!
ka kipengele cha dini kipo basi naona kipengele makibila sensa,rasilimali zigawanye kwa kuzingatia wingi wa kabila na sio vinginevyo, ka wasukuma ni moja ya tatu then 30% ya wafanyakazi wa serikali wawe wasukuma,ka wachaga ni moja ya tano then 20% ya wafanyakazi wa serikali wawe wachaga, then...
kwa jinsi nijuavyo information yoyote iliyopo ktk information za sensa lazima ziwe na faida na maslahi kwa serikali na taifa kwa ujumla.idadi ya waumiki ktk dini flani hakiwezi kuwa kipaombele cha serikali isiyo na dini. kujua kuwa wakristo wako 10%,waislamu 70% na wapagani wako 20%.je serikali...
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu sana mwana kakumiss mbaya,ngoja nimstue anakuja sasa hivi.ningependa kujua hivi kwa mabinti hili lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.