Oil sum na man steel yawahusu hii. Nawatafuta saana niny madogo na hao wengne ka niny il nipate japo wakanya kodogo nahc huu muda ntakupaten.
Madogo niny mnasoma education na unaweza kuta za arts yahn hyo taka yako kwa mwenzako n 'taka taka tena' af haitosh unakuja kuanza wadharau wengne ambao...
Ushaur wangu: usipende sifa katika kutafuta maisha mdogo angu hyo coz n ya sifa na still chuo bado kichanga saana kwa coz hyo most of us maisha ya nyumaban n yakawaida ya kutemea msaada tokea serikalin(mkopo) haata japo kidogo so tafuta maisha na sifa baadae la sivo utakuja umbuka muda si muda.
Kama unsoma chuo na we umeelimika na mtaft bhas jielewe kwa hili except kwa coz za practical zinazousisha chemical ambazo hata kama zpo udom n chache kama pharmacy, hauitaj mwalim wa kukufundisha darasan eht we mwanaume unasomewa notice na mwanaume mwenzako na eht unataka uwe kama yeye hapo u...
wewe utaajiriwa wap na degree kmataifa hapo master inahusu hlo unalolsema n sawa na kat ya wa2 m1 kamalza kata 4m 4 na mwengne kamalza feza/malian lakn wate wamekutana form 5.
Kaka kwa hapa tz kujiajr n vgum sana sana coz hapana mpango kwa mfano nch ka Uganda n vgum lakn sio sana coz mpango n hpo, tz elm n kwa ajr ya kujriwa 2, huo ndo ukwel ko njia rahc n kuajriwa baada ya hapo ukkaasawa unajiajr. swala la kujiar n gum kila sehem ila n zaid kwako wewe ulye kwsha...
Hv jaman m2 akupe hela 2 bila kua na mbinu madhubut labda una kaz au labda uweke k2 lean jaman hl jambo gum la msing wangetoa utaratbu kwamba m2 aweke k2 lean ka nyumba au shamba mana unaweza ukafa kabla ya kulpa au kudsco, jaman risk ka hz anaweza serkal c m2 wakawaida. Mtazamo wangu 2.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.