NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA "PART TIME" SHULE YA SEKONDARY (O LEVEL n/or A LEVEL) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA "PART TIME" SHULE YA SEKONDARY (O LEVEL n/or A LEVEL)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by georgei, Sep 29, 2012.

 1. georgei

  georgei Senior Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ilivo hapo juu,nimesoma Engineering,nafuta kufundisha kwa part time shule yyte hapa mjini DAR..masomo ninayofundisha ni PHYSICS,MATHEMATICS,CHEMISTRY
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Duh engeneering nayo imeshakua ka socialogy..???mkuu ungesoma ualimu tu
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  una wazo zuri..na tunahitaji sana mchango wako!! je usha be registered as a proffessional engineer?? and why teaching not engineering??? all the best mkuu....
   
 4. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  pita mwenyewe kwenye shule za private!zipo nyingi sana!
   
 5. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Siyo hivyo mkuu hiyo pia ni njia ya kujiongezea kipato ndiyo maana kaomba part time na siyo full time.
   
 6. e

  enoc Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaman haya mambo magum ila tatzo n ushabiki na sifa
   
 7. georgei

  georgei Senior Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni kweli watu wanaleta ushabiki tu....................mi nataka nifanye kile nilichotumwana na mungu duniani,nilienda engineering kwa sababu nilifaulu na mfumo ukanilzimisha!!!
   
 8. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  duuuuuuuh mpaka nyie mnaomba ualimu, kweli hali mbaya sana nchini
   
Loading...