nani kapata matatizo kama haya kwenye ku apeal heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nani kapata matatizo kama haya kwenye ku apeal heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dionece, Oct 7, 2012.

 1. dionece

  dionece Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
   
 2. e

  enoc Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hyo n system ndo inazngua endelea kujarbu itatk mkuu
   
 3. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa wananizingua kupita maelezo. Mimi kesho napandisha ofisini kwao wakanipe maelezo ya kina.
   
Loading...