VYEO vya WAHADHIRI vyuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VYEO vya WAHADHIRI vyuoni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Oct 4, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  1. Tutorial Assistant (TA)-Huyu niyule Mhadhiri wa chini kabisa ambaye yeye ana Shahada ya Awali tu kwenye fani yake.

  2. Assistant Lecturer ( AL)-Huyu ana Shahada ya Uzamili(Masters) katika fani ake husika

  3. Lecturer (L)-Huyu ana Shahada ya Uzamivu(PhD) Lakini,bado si mkongwe kwenye Shahada yake hiyo au bado hajaandika na kutafiti vya kutosha

  4. Senior Lecturer (SL)- Huyu ana Shahada ya Uzamivu na ni wa muda mrefu kuliko L.Yeye angalau ameandika na kutafiti kwa kiasi fulani.

  5. Associate Professor (AP)- Huyu ni mbobezi katika kufundisha kuliko SL. Yeye ameshafanya uandishi na utafiti wa kutosha katika fani yake kuliko SL.Naye ana Shahada ya Uzamivu.

  6. Professor (P)-Huyu ni mbobezi katika kufundisha,kutafiti na kuandika katika fani yake kuliko AP. Ni cheo cha juu kabisa katika ngazi za Wahadhiri Vyuo vikuu.

  NB: 1.Vyeo hivi hupandishwa na Mabaraza ya Vyuo kulingana na sifa walizojiwekea hasa za utafiti na uandishi wa vitabu,sura za vitabu nk.
  2. Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,tangu kuanzishwa kwake 1961,kimebarikiwa kuwa na Maprofesa kamili (P) wanne ambao ni Prof. Issa Ghulamhussein Shivji, Prof. Gamaliel Mgongo-Fimbo,Prof. Chris Peter Maina na Prof. Josephat L. Kanywanyi. Prof. Shivji hafundishi tena.Waliobaki bado wapo wakifundisha kwa mikataba.

  Asanteni kwa kunisikiliza...
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa.Tujaalie kwa kiswahili
   
 3. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kitivo cha sheria wanabaniana ili wawe wachache waabudiwe ila wenye uwezo wa kuwa maprofesa ni wengi ila wanabaniwa. Halaf udsm hata ktk kozi nyingine wanabana sn tena kuanzia shada ya uzamili, ila ukienda st agust, tumaini, st john, arusha univ na vingine vingi unapata masta kiulaini
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ubora wa elimu je?
   
 5. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
   
 6. e

  enoc Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kusoma kwing kiza kiingi, hv niny amchok kukaa mnakariri v2 walivo andika wanaume wenzenu? Hangalia wa2 wenye majina hawakuririr saana v2 vya wanaume wenzao. Nawasilisha
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kma vipi Mkuu.Funguka...
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bongo kila kitu siasa! Ila sema sasa TCU wana meno, wanakuja na njia mbadala ambayo haitategemea siasa za vyuo tena.
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu,hata uandishi wako unaonesha hutaki kuumiza kichwa.
   
 10. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh?:typing:
   
 11. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pale idara ya kemia kuna prof mmoja ambae nae ashastaafu ila anafundisha, na ass.prof wawili tu!!!!
   
 12. i

  itagata JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Asante sana, lakini naomba kuuliza na madokta vyuoni elimu yao ipoje?
   
 13. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  madocta wapo hapo kwenye lecturers and senior lecturers
   
 14. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  anateleza kwa ganda la ndizi
   
Loading...