Walicho tufanyia heslb! Mmm.... Hata hamu sina

Msabaha lk

Member
Apr 21, 2012
84
21
Waungwana nami niungane nanyi kwa hili. HESLB wametoa allocation na tuliokosa tumekosa. Ajabu kimya! hivi mkwanja wetu umeende hivihivi? hatustahili hata kupewa taarifa kwa nini tumekosa? wametugawa! waliopata sherehekeni.
 
kaka yametoka saa ngap na wap hapo 2juze bhana
 
walisema watatoa batch mpya? nani kasema! siku chache baada ya allocation TCU walisema wangetoa majina ya NO LOAN tar 23.9 mpaka leo kimya! ndo nikauliza hatustahili kujua kwa nini hatujapewa mkopo? ni hayo tu.
 
Dah! poleni sana mkuu. ila nadhani kuna fungu lingine,kwani hata wale wa verification wameshapewa? vuta subra kidogo tuone.
 
Imetuumiza sana,Ukizingatia mimi nipo priority course na nina sifa lakini hawajanipa.Nimekata tamaa yani siwezi kwenda chuo,Nipo mbinga sina matumaini ya chuo maana hata nauli kuripoti udom ni issue.Hii ndio serikali yetu bana,Wanasema eti bajeti imefika mwisho na wenye sifa wengine wamekosa mkopo.Mimi naendelea mwaka huu nahudumia kahawa yangu nibangaize,mimi mtoto wa masikini hoi hae.Asante serikali yetu kwa kuamua hivyo,maana heslb ipo kwa wachache.
 
usikate tamaa ndugu yangu haya ndo maisha ya kibongo bongo me naona tu ka appeal naimani kabisa utapata huwezi kukosa kweli
 
usikate tamaa ndugu yangu haya ndo maisha ya kibongo bongo me naona tu ka appeal naimani kabisa utapata huwezi kukosa kweli

kuappeal n kwa wale waliopata mkopo bt wanaona hautosh!!so wait uapply tena mwakan ukizd kumwomba Mungu akufungulie milango mingne.
 
heslb ni full usanii mwenyewe jina langu ndio cjaliona kokote ile 30000 elfu nimeibiwa bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom