Hata
Hata viongozi wako wa ccm walisema haya haya miaka ya nyuma na wasira kutabiri cdm haitafika 2013 leo wanashangaa madiwani, wabunge na halmashauri zilizo chini ya cdm zinaingezeka sasa wameamua kusigina demokrasia
CHADEMA ya sasa inaongoza jiji la Dar CHADEMA ya sasa inaongoza jiji la Mbeya CHADEMA ya sasa inaongoza jiji la Arusha CHADEMA ya sasa inaongoza halmashauri nyingi zaidi CHADEMA ya sasa ina wabunge wa kuchaguliwa 12 zaidi ya ile CHADEMA ya awali CHADEMA ya sasa ina madiwani wengi zaidi kuliko...
Uongozi wa bunge ulirudisha bilioni sita serikali kwa madai kuwa wamebana matumizi ndipo hizo fedha zikabaki, wakakati huo huo bunge linadai haliwezi kurusha matangazo kwa kuwa hawana fedha za kulipia, ni bil. 4, lakini wakati huo huo pia waandishi wa habari na wadau mbali mbali wakitaka kutoa...
Watu humu wajinga kweli, viwanda waviuwe halafu eti na wewe uamini kuwa vijana hawataki kazi, wale vijana walijaa uwanja wa taifa wakitafuta nafasi za kazi TRA nao walikuwa hawataki kazi, wote waliounga mkono huu uouuzi ni wazembe wa kufikiri
Hapa Arusha walizunguka kwenye baadhi ya college na kuwapa wanafunzi tshirt na wengine hela, viwanda vya sunflag na a to z sifa vilifungwa ili wafanyakazi waende kwenye mkutano na ilikuwa sifa ya mfanyakazi kuendelea kuwa kazini la sivyo kazi utapoteza, na kama kawaida watu wengi nawajua...
Arusha mjini waliojiandikisha kupiga kura ni watu 320000+ ule uwanja pamnoja na pitch unachukua watu 30000 si kipimo kuwa ccm inakubalika Arusha, weka hii akili halafu turudi hapa tarehe 27/10
Tena bado ni chache kama tuna tuna majimbo 265 na vyama vina ofisi uko kote na viongozi wa fedha pia hii ina maana kila ofisi inatakiwa iwe na bajeti yake na akaunti pia hivyo hizo 200 bado ni chache, wanaweza kuwa hata na akaunti kwa kila kata yaani akauti zaidi ya 3900
Marco Polo
Ukitaka kujua nani ana sera mbovu na zisizotekelezeka tafuta gazeti la Nipashe la jana na leo uone hizo takwimu halafu ndiyo utajua nani mwongi
Ukweli wa elimu bure ya Lowassa huu hapa.
Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Mh. Edward Lowassa.
Ahadi aliyoitoa mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), ya kutoa elimu ya Chuo Kikuu bure inaweza kugharimu Taifa kiasi cha Sh. trilioni...
Ukitaka kujua inawezekana tafuta msaama wa kodi ni shilingi ngapi, hela zinazoliwq hovyo katika halmashauri zetu na hela zingine za kifidadi halafu tafuta ni shilingi ngapi huwa wahisani wanatupa kwa ajili ya bajeti utapata majibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.