CHADEMA akaunti 200 za nini kama siyo ufisadi?

CHADEMA akaunti 200 za nini kama siyo ufisadi?

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,870
Reaction score
5,755
Anauliza mmoja wa wanadi sera wa CCM huko MONDULI. Watanzania wanahitaji majibu.
[video=youtube_share;pIm-Qk3Ckig]http://youtu.be/pIm-Qk3Ckig[/video]
 
Kama unaulizia za Bank sasa ajabu ni nini kwa chama chenye ofisi nchi nzima? Mie binafsi MTU mmoja mbona ninazo saba mabenki tofauti?
 
Mmeibuaa na hilii???

Kwelii seraa hamnaa

Yaani mwaka huu mtaihubirii ukawaa
 
Tena bado ni chache kama tuna tuna majimbo 265 na vyama vina ofisi uko kote na viongozi wa fedha pia hii ina maana kila ofisi inatakiwa iwe na bajeti yake na akaunti pia hivyo hizo 200 bado ni chache, wanaweza kuwa hata na akaunti kwa kila kata yaani akauti zaidi ya 3900
 
Back
Top Bottom