jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,196
- 1,940
Ukipata mianya ya bandarini pale hasa Home Shopping Centre unaweza kusomesha wanafunzi wote bure Tanzania
wewe ni hasara kwa hili taifa. Una ufinyu wa akili uliotukuka!
Ukipata mianya ya bandarini pale hasa Home Shopping Centre unaweza kusomesha wanafunzi wote bure Tanzania
Ndugu wana JF leo gazeti la Nipashe limetoa mchanganuo wa gharama za Elimu ambazo Lowassa anasema anaweza kuzikabili na hatimaye watanzania wakasoma bure hadi chuo kikuu . Ingawa naipenda Ukawa lakini dosari hizi za wazi katika kuchanganua mambo hazipaswi ziachwe bila kutolewa tahadhari ili mgombea wetu wa Ukawa apate kuaminiwa kwa kile anachokisema.
Kiukweli upembuzi ule umeacha maswali mengi bila majibu huku nikihoji uwezo wa serikali ya Ukawa kutoa Elimu hiyo bure kwa ngazi zote za Elimu kuanzia chekechea. Gharama za Elimu ya juu pekee ni 6% ya budget ya 2014/2015. Na ukweli hizo ni fedha za kujikimu za wanafunzi 300,000 tu kwa mwanafunzi mmoja kupewa TZS 4.5m. Hapo hatujazingatia mishahara ya waalimu, tuition fees na vifaa vya kufundishia. Katika hali hii ni dhahira serikali itaelemewa na kutoa bora elimu kuliko elimu bora. Mzigo huo wa gharama ya elimu ukijumlishwa na shule za sekondari, msingi na chekechekea ni dhahiri elimu itachukua zaidi ya asilimia 20 ya budget ya nchi. Kama hii itakuwa hivyo ni dhahiri sekta nyingi muhimu zitaathirika na kupunguz a ufanisi wa serikali.
Tunahitaji majibu kutoka kwa ukawa kama kweli hii sera inaweza kutelezeka na kwa namna gani. Tusifanye masihara na hili. Lakini lazima watueleze kuhusu Tertiary Education nayo itakuwa buree au vipi?
Elimu ya bure ya lowassa inawezekana sana tena sana...nyerere aliwezaje bila tanzinite gesi etc...muulize mtu wa zamani hadi nauli za kurudi makwenu zilikuwa zinapewa mashuleni
Unaongea kitu usichojua. Mimi nakuambia kitu ambacho nimefanya. Au labda mtu anaposema ''elimu bure'' wewe unaelewaje? Kwasababu tunaweza kuwa tunabishana na mtu anayefikiri elimu bure ina maana ya kila kitu bure
Ndugu wana JF leo gazeti la Nipashe limetoa mchanganuo wa gharama za Elimu ambazo Lowassa anasema anaweza kuzikabili na hatimaye watanzania wakasoma bure hadi chuo kikuu . Ingawa naipenda Ukawa lakini dosari hizi za wazi katika kuchanganua mambo hazipaswi ziachwe bila kutolewa tahadhari ili mgombea wetu wa Ukawa apate kuaminiwa kwa kile anachokisema.
Kiukweli upembuzi ule umeacha maswali mengi bila majibu huku nikihoji uwezo wa serikali ya Ukawa kutoa Elimu hiyo bure kwa ngazi zote za Elimu kuanzia chekechea. Gharama za Elimu ya juu pekee ni 6% ya budget ya 2014/2015. Na ukweli hizo ni fedha za kujikimu za wanafunzi 300,000 tu kwa mwanafunzi mmoja kupewa TZS 4.5m. Hapo hatujazingatia mishahara ya waalimu, tuition fees na vifaa vya kufundishia. Katika hali hii ni dhahira serikali itaelemewa na kutoa bora elimu kuliko elimu bora. Mzigo huo wa gharama ya elimu ukijumlishwa na shule za sekondari, msingi na chekechekea ni dhahiri elimu itachukua zaidi ya asilimia 20 ya budget ya nchi. Kama hii itakuwa hivyo ni dhahiri sekta nyingi muhimu zitaathirika na kupunguz a ufanisi wa serikali.
Tunahitaji majibu kutoka kwa ukawa kama kweli hii sera inaweza kutelezeka na kwa namna gani. Tusifanye masihara na hili. Lakini lazima watueleze kuhusu Tertiary Education nayo itakuwa buree au vipi?
Ndugu wana JF leo gazeti la Nipashe limetoa mchanganuo wa gharama za Elimu ambazo Lowassa anasema anaweza kuzikabili na hatimaye watanzania wakasoma bure hadi chuo kikuu . Ingawa naipenda Ukawa lakini dosari hizi za wazi katika kuchanganua mambo hazipaswi ziachwe bila kutolewa tahadhari ili mgombea wetu wa Ukawa apate kuaminiwa kwa kile anachokisema.
Kiukweli upembuzi ule umeacha maswali mengi bila majibu huku nikihoji uwezo wa serikali ya Ukawa kutoa Elimu hiyo bure kwa ngazi zote za Elimu kuanzia chekechea. Gharama za Elimu ya juu pekee ni 6% ya budget ya 2014/2015. Na ukweli hizo ni fedha za kujikimu za wanafunzi 300,000 tu kwa mwanafunzi mmoja kupewa TZS 4.5m. Hapo hatujazingatia mishahara ya waalimu, tuition fees na vifaa vya kufundishia. Katika hali hii ni dhahira serikali itaelemewa na kutoa bora elimu kuliko elimu bora. Mzigo huo wa gharama ya elimu ukijumlishwa na shule za sekondari, msingi na chekechekea ni dhahiri elimu itachukua zaidi ya asilimia 20 ya budget ya nchi. Kama hii itakuwa hivyo ni dhahiri sekta nyingi muhimu zitaathirika na kupunguz a ufanisi wa serikali.
Tunahitaji majibu kutoka kwa ukawa kama kweli hii sera inaweza kutelezeka na kwa namna gani. Tusifanye masihara na hili. Lakini lazima watueleze kuhusu Tertiary Education nayo itakuwa buree au vipi?
Shangingi 1 = ada ya wanafunzi wa vyuo 97.
Tanzania kuna mashangingi mangapi?
hahaa huo uwiano wa shangingi moja kwa wanafunzi 97 ni uongo uliopitiliza. hao waliopiga hizo hesabu hawana data kabisa za kutosha
Mkuu Hebu lete hizo takwimu sahihi shindanisha na zao ili isaidie kwenye kufanya maamuzi
Swali kubwa ni je unajua bei ya hizo shangingi kuitungua mpya?? (Achana na zile USED za Beforward)
Kwa makadirio kulingana na specifications zinacheza kwenye 60,000$ to 65,000$ (ukiipiga kwenye madafu ni zaidi ya 130Millioni....Je hujalipa ada za watoto kibao???
Pia unajua unywaji wake wa mafuta?
Vipi na elimu bure ya Magufuli? Nayo ina mashiko?Ndugu wana JF leo gazeti la Nipashe limetoa mchanganuo wa gharama za Elimu ambazo Lowassa anasema anaweza kuzikabili na hatimaye watanzania wakasoma bure hadi chuo kikuu . Ingawa naipenda Ukawa lakini dosari hizi za wazi katika kuchanganua mambo hazipaswi ziachwe bila kutolewa tahadhari ili mgombea wetu wa Ukawa apate kuaminiwa kwa kile anachokisema.