Kujifariji inaruhusiwa.
Kua mkweli siku zote niadhina yako kwamungu wetu. Kipaumbele cha mheshimiwa lowassa chakwanza ni ELIMU chapili ni ELIMU na chatatu pia ni ELIMU. Hivyo ndivyo tulivisikia pale jangwani.
Hukuwepo mkutanoni ww tuulize tuliokuwepo tena hapo nime summarize tu ila zipo Sera nyingi za ovyo mjomba yenu alizitamka ambazo only a child of 12 yrs and below can understand them.[/QUOTE
Nyooooo! Mie nilikuwepo jangwani tena mbele kabisa alisema kipaumbele cha kwanza elimu Pili elimu tatu elimu hayo ya babu seya mashabiki ndo waliuliza akasema akiingia madarani atangalia sheria inasemaje hakusema atawatoa moja kwa moja..mxiii kakojoe ukoo..
Hv pale Ikulu ofisı za Raıs zipo ground floor?Huwa naona vighorofa km viwıli au vıtatu.Jamaa anashikiliwa kupanda helikopta,sasa sıjuı!!!Yangu masıkıo.
Walikwisha kabla hawajaanza, sasa hivi wanaongelea kuhesabu kura. Hizi ni dalili za kutafuta sababu ya kushindwa.
Eddo anawaumiza vichwa sana mmesema mgonjwa tumempenda ivo ivo na mnashangaa hajawahi kuanguka jukwaan wala kukauka sauti, mmesema fisadi uwo wimbo unatuburudisha nyoyo zetu, Mara mzee jaman sie tumependa tumekufa tumeoza...EDDO EDOO LOWASSA
WanaCCM wa chini huku mtaani wanaona kawaida hawajui kuwa wakubwa zao hawalali.
Ila kwa kuwa vijana wengi wamelipwa kupost jf,fb,tweeter n.k ili kuona mwitikio wa watu sishangai kukuta hii post ya kujifariji.
Huu ni mwaka wa mabadiliko na Lowasa.Ukawaaaaaaaaaaaa juuuu.
Kua mkweli siku zote niadhina yako kwamungu wetu. Kipaumbele cha mheshimiwa lowassa chakwanza ni ELIMU chapili ni ELIMU na chatatu pia ni ELIMU. Hivyo ndivyo tulivisikia pale jangwani.