Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,228
Kila mtu anahaki ya kutabiri mgombea anayemtaka kushinda sasa habari za kutukanana wakati hata uchaguzi wenyewe haujafanyika ni UPUNGUANI pia
Mambo ya kutukanana mnapo tofautiana kimsimamo ni dalili tosha kwamba kuna tatizo la kimadili, binafsi nafikiri kuna haja watu kujirudi na kujiheshimu.