Recent content by Enhee

  1. Enhee

    JamiiForums Tanzania AFCON: Uwanja wavamiwa na mashabiki Ghana ikiongoza 3-0

    Vi-nchi kama hivi ni vya kuvipiga ban tu kutokuandaa mashindano yoyote makubwa kwa miaka 1000 ijayo
  2. Enhee

    JamiiForums Tanzania HOAX: Mgomo wa wauza mafuta kesho, jaza leo mafuta!

    Weka taarifa sawasawa wewe. Unataka kutuambia watagoma nchi nzima? Dar mpaka Mtwara, mpaka Mbeya, mpaka Mwanza na Tanga pia? Ikitokea kituo chochote kikauza mafuta kesho basi usirudi humu tena! Jipige ban mwenyewe
  3. Enhee

    JamiiForums Tanzania Raia waua mwanajeshi Mbeya

    Yaani mchumba tu unauwa mtu! Kwani huyo bidada alilazimishwa kumegwa na mjeda?
  4. Enhee

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwapata wezi wangu wa simu

    Kwa faida ya wengi, tuambie mkuu namna ya kuregister simu kwenye website ya mtengenezaji
  5. Enhee

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya Basi na gari ndogo, dereva aponea chupuchupu

    Kweli gari nyang'anyang'a hata haitambuliki. Mi nilidhani ni Harrier hybrid
  6. Enhee

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote mwenye uzoefu na NISSAN WINGROAD

    Hizi gari ni nzuri kwenye picha tu hivyo, ukiziona barabarani zinavyotembea - ovyo! Utadhani mende anakimbizwa na fagio la chelewa
  7. Enhee

    JamiiForums Tanzania Kwaheri mwaka 2014.

    Hii wala haina haja mkuu, yaani kila mtu aje hapa kuelezea alivyofanya kwa mwaka mzima! Tutajaza server tu kwa hoja isiyo na mashiko
  8. Enhee

    JamiiForums Tanzania WACHAGA WAAIBIKA LEO Tbc

    Hapo unaweza kupima upeo wa mtu kama huyo maana hata hesabu iliyo kwenye makumi imemshinda. Aibu!!
  9. Enhee

    JamiiForums Tanzania Makambako: Gari la Polisi lapinduka

    Picha inaonesha gari ni RHD na limepindukia kushoto upande wa siti ya abiria. Huenda dereva hakufunga mkanda hivyo alirushwa nje ya gari na mauti yakamkuta huko
  10. Enhee

    JamiiForums Tanzania Mchalo kama mtamu maana yake nini?

    Kama ni kuingiza neno la mtaani katika matumizi ya lugha ya kawaida basi wamechemsha! Neno 'kawa mtamu' halijakaa kimaadili kabisa!!
  11. Enhee

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    Soma kwanza ulichoandika kabla hujapost
  12. Enhee

    JamiiForums Tanzania Lincoln and Kennedy Similarities

    Ooh, what a coincidence!
  13. Enhee

    JamiiForums Tanzania Mcharo kawa mtamuuu

    Hayo matangazo kwa kweli ni n.oma
  14. Enhee

    JamiiForums Tanzania Kweli dunia imeisha kabisa

    Mimi hadi saa hizi bado naujiuliza dunia hapo imeisha-ishaje!
  15. Enhee

    JamiiForums Tanzania Wafumaniana, wabadilishana wake zao

    Ni mfano wa kuigwa hawa watu jameni!
Back
Top Bottom