Mchalo kama mtamu maana yake nini?

Mchalo kama mtamu maana yake nini?

Kama ni kuingiza neno la mtaani katika matumizi ya lugha ya kawaida basi wamechemsha! Neno 'kawa mtamu' halijakaa kimaadili kabisa!!
 
Kawa mtamu kwa mtoto wa kiume ni kuwa chocolate.
 
Kwa wajinga. Haiwezekani kwa mtu mwenye akili achukue mkopo halafu aanze kulia nyama kila siku nyumbani kwao. Eti "kila siku anatuumiza pua"
Hilo tangazo inaonekana mcharo wenzake wa boda boda wanamwonea wivu, kuna mahali amelipia mtoto ada ya shule. Rudia kulisikiliza hakuna swala la nyama tu. Kinachomaanishwa hapo ni kuwa maisha yake yamekuwa mazuri na si kuwa anakula nyama kila siku. Matangazo mengi siku zote yanakuwa na lengo la kumvutia mtazamaji/ msikilizaji inabidi kujua maudhui yake kwanza
 
Back
Top Bottom