Recent content by enhance

 1. E

  Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

  Dunia ni kubwa na mambo ni mengi ukishangaa hili kesho linakuja lingine! pole kwa hayo hakuna aliye mkamilifu, ila alichofanya aliyekuwa mkeo si kitu kizuri hasa swala la kumiliki nyumba pamoja na mwanaume mwingine!
 2. E

  Angalia kwa Umakini Majina Haya, Kisha Tafuta Rais Mtarajiwa kwa Tiketi ya CCM

  na huyu ndiye atatufaa, mwl , Dr na profesa wameshindwa kutuongoza vema tujaribu huyu!
 3. E

  K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

  warumi unafurahisha!!
 4. E

  Tukiwa outing anageuka bubu

  Ulianza kumuheshimu sana kupita kiasi kwa kujua a kutokujua! matokeo yakawa hayo!
 5. E

  Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

  Pole sana! Mungu akuwezeshe!
 6. E

  Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

  Bila shaka amepumzika kwa amani! pole sanaa!
 7. E

  Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

  Kwa wakati wa Mungu atawapa haja ya mioyo yenu! lakini pia ni vizuri mkiwaona wataalam wa haya mambo! poleni sana!
 8. E

  Mamantilie wanatusaidia au kutumaliza?

  Tupia kapicha basi!
 9. E

  Mamantilie wanatusaidia au kutumaliza?

  lukelo sakafu mkuu habari za maisha mapya mkeo hajambo!
 10. E

  Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

  Mkuu hapa hoja ni nani mkali kwa uimbaji? na wala sio kuwa na albam nyingi! zinaweza kuwa nyingi lakini hakuna ubora!
 11. E

  natafuta watengenezai mihuri hapa dar

  sina contant ila nenda posta mtaa wa jamhuri pale round about wapo wengi tu tena fasta!!
 12. E

  Happy Birthday to me

  heri ya siku ya kuzaliwa Elli!Mungu akupe kila haja ya moyo wako!
Top Bottom