Recent content by Engineer2

  1. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Damas Mwaipaja, Senior Academic Master & Mwl wa Adavanced Mathematics ! pale Mkwawa high school
  2. Engineer2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    mmh
  3. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Shule za Kata kulikomboa taifa

    Mkuu huo si ufundi ni stadi za kazi
  4. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Shule za Kata kulikomboa taifa

    Hivi kumbe ufundi unahitaji watu waliofeli? nilidhani ufundi unahitaji watu wenye uelewa mzuri wa masomo ya sayansi na hesabu, hii dhana ya kuwa kila anayefeli apelekwe kwenye ufundi ndiyo inachangia sekta hii kutokua au kuwa na mafundi vihiyo katika nchi hii. Ufundi ni taaluma inayohitaji watu...
  5. Engineer2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

    Ni askofu wa Anglican na si KKKT, Ni katika kuweka kumbukumbu vinzuri, kesi ipo mahakamani
  6. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye magari binafsi piteni hapa

    Phd = pengine huna degree..
  7. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kutumia CRDB MasterCard visa nje ya nchi

    Nenda tawi lolote la crdb kuna form ya kujaza,
  8. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Mkuu umenifanya nicheke sana, poti lenye ugali? Ilikuwa mchana au Usiku ili niulize swali la nyongeza..
  9. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawashikilia Mkandarasi Mkuu na Mhandisi wa Wilaya

    Main contractor si mhandisi mkuu, kwa kiswahili main contractor huitwa mkandarasi mkuu
  10. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Dereva aliyemgonga Trafiki eneo la Bamaga afikishwa mahakamani

    Nilikuwepo eneo la tukio siku hiyo, nashangaa polisi kumpeleka mahakani kwa traffic offense, nadhani hata uelewa wao nao ni mdogo, mimi si mwana sheria lakini mtazamo wangu ni kuwa alitumia gari kwa makusudi kumwua yule polisi, hakuwa kwenye msafara, wenzake walioingilia msafara walisimamishwa...
  11. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Dereva aliyemgonga Trafiki eneo la Bamaga afikishwa mahakamani

    hivi kesi za mauaji zina dhamana? si kaua huyu?
  12. Engineer2

    JamiiForums Tanzania gari!

    Ingia website ya tra wameweka formula ya kodi, ni rahisi kuitumia
  13. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Tanzania Airports Authority Welcomes You to Songwe International Airport - The land..

    So wanaokunywa lager lazima wawe na midevu?
  14. Engineer2

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Matatizo BoiMtoto (Kigurunyembe TTC 1999 -2001)
  15. Engineer2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uporaji, ukabaji, ulawiti na ubakaji kwa wanafunzi wa IFM Kigamboni chanzo ni hiki hapa?

    Jkt ni muhimu sana kiongozi
Back
Top Bottom