Msaada kuhusu kutumia CRDB MasterCard visa nje ya nchi

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Habari zenu wakuu wangu,
Naomba kujulishwa machache khs Matumizi ya Crdb Master Card nje ya nchi.

1. Gharama zao zikoje makato yani charges ukitoa hela kwa atm ya bank nyingine nje ya nchi?

2. Pia,nimeona kuna huduma ya kuswipe..mfano,unaenda shoprite unanunua bidhaa halafu unawapa wanaswipe unaeka pin afu wanakata hela..
je crdb card naweza kufanya hvo nje ya nchi? kuna mganda anafanya hvo nje ya Ugandawkwa kadi ya uganda na ni free hachajiwi.
 
ni vizuri ukamuuliza banker wako....card ya LLOYDS TSB sio swa na CRDB CARD kila moja inataratibu zake na charges zake
 
Back
Top Bottom