Recent content by ENG'IDA

  1. E

    Membe na Lowassa walivyotoa fursa kwa Makongoro!

    [Ndugu yangu EL, amka, kana richmond watu wakuelewe, uta.... ]
  2. E

    Mrema awafukuza madiwani wawili waliomuunga mkono Mbatia

    Maskini inji hii! Mbatia ni JEMBE
  3. E

    Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    Nafikiri itamchafua zaidi, bora angeikataa!
  4. E

    Lowassa Atoshaa: Wajumbe wa NEC YA CCM Wanena

    Ktk CCM, hakuna kama LOWASA! CCM mkimkataa, mtajutia...Kama mna masikio ...
  5. E

    Kumuenzi Profesa kwa bendera nusu mlingoti imekaaje?

    Mleta mada hafahamu mchango wala historia ya Profesa Mazrui katika bara la afrika na ulimwengu kwa ujumla, nafikiri hata mizinga angestahili. NAWAKILISHA!
  6. E

    Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    Pale aliponena 'Usijikune pasipowasha' siku ya makabidhiano ya katiba pendekezwa, ndipo alopojiloga peke yake! Maskini Mrisho!
  7. E

    Mchango wa Dr. Bana, Prof. Shivji, Prof. Kitilla na UDSM katika kuliangamiza Taifa

    Inasikitisha sana! Mimi ni mmoja wa wasomi ktk inji hii; ni mmoja wa wahadhiri ktk vyuo vyetu vikuu vya uma ktk inji hii. Ni mmoja wa watanzania tuliohenyea digrii za uzamivu (PhD), sio honororis causa kutoka vyuo vikuu vya vinavyoheshimika ktk Bara hili! Lakini kweli inaumiza sana...
  8. E

    Waliohamia ACT warejea CHADEMA Singida

    Tusidanganyane "CDM' ni kiboko yao; wachache wanajidanganya ati CCM inaimarika, thubutu!
  9. E

    Waraka wangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Amka wewe usinziaye LIZABONI; Nini kinachokupagawisha wewe? Kila mtu unafikiri LEMA au CDM! Mimi namwona tu kwenye TV- sikuwahi kumtia machoni live, Alichokiandika Rutashobolwa hakina ubishi, vinginevyo km una lako jambo....
  10. E

    Waraka wangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    'Ujumbe mzito'; Ndugu yangu haya yamepangwa, km huamini angalia Kinana na Nape wanafanya nini mitaani!
  11. E

    Huyu ndio Mbarouk, Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora

    Kama Mbowe hafai kuwa mwenyekiti wa chama taifa, utasema nini juu ya Makaidi, Mzee Mapesa, Mtikila, Lyatonga, na Mapalala?
  12. E

    Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

    Ooh! mpaka sekunde hii haijaingia chochote kwangu. Watumishi wa uma tunalia km watoto wadogo.
Back
Top Bottom