Waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.
Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga, aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.
Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli. Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.
Acha Porojo na kudanganya umma,hakuna kiongizi hata mmoja wa ACT -Tanzania alierejea chagadema.
Kwa sasa chagadema imeshapoteza uelekeo na inarafuta kick kwa story za kurunga hasa baada ya CD yao ya maandamano ku scratch.
Waache ACT waijenge na falsafa iliyitukuka kwa wananchi wao.
Watunga hekaya maarufi wenyewe wameshaisusa kazi,wewe bado hujakata tamaa?
Pole sana
Chadema imesha kufa,kila opararion imefeli,chaguzi ndio wametumia Bil 3,,chopa 3,wakaambulia kata tatu.
Kalenga holaaa
chalinze chiniiiii
Maandamano yamebuma
hata wale vijana wa kutunga uongo aki na Yeriko na Saa nane nao wamegoma kutumikishwa.
Andamana wewe sisi tuachie chama pendwa chenye mikakati ya kisomi.
ACT -TANZANIA ndio habari ya mjini,na utaikubali ACT siku ukimjua M2 ni nani.
Toa BORITI kwenye jicho lako kabla ya kushangaa kibanzi ...............Mimi nashauri walambwe bakora kwanza hayawani hawa.
Njia ya mwongo ni fupi! Hatimaye KADI za chama cha ACT-Tanzania zilizoibiwa siku ya ufunguzi wa ofisi ktk jiji la mbeya, zimekamatwa na polisi ktk ofisi za CHADEMA jijini humo. Huu ni ushindi dhidi ya wale wanaojiona wana haki miliki ya siasa za upinzani ktk nchi yetu. Pia imedhihilisha bila shaka kuwa zile tuhuma za kuvunjwa kwa ofisi za chama chetu wao ni wahusika namba moja. Ongera vijana wazarendo BAHATI NA SANGA Kwa ufuatiliaji wa kina badala
ya kuandamana mmekamata wezi.
Source: RPC MBEYA.
Mlituaminisha hapa kuwa hawa ni mamluki na hawahitajiki ndani ya chadema.Waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.
Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga, aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.
Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli. Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.
ARFIIIIIIIIIIIII. Safi sana ,hivi kwa nini Zitto alikupoteza vile??.Hata hivyo hiyo reaction humo ndani haina nguvu.Ungekuja tu huku nje tukapambana nao.