Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

hela zimeisha,serikali imefilisika,mi mwenyewe nimebahatika nimepata jana
 
mi ndo nilikuwa wa mwisho kuchukua wakasema zimeisha so wengine msubiri wakope kuweni wavumilivu serikali yenu sikivu itawalipa tu
 
Kuna jamaa kanitonya eti wameenda kukopa kwa fisadi fulani. Duuu....
 
Ooh! mpaka sekunde hii haijaingia chochote kwangu. Watumishi wa uma tunalia km watoto wadogo.
 
Mdogo wangu kaniambia sasa ana miaka 6 kazini, hali hii hakuwahikuiona kabla... mpaka tareh 3. Kwa nini wahusika wasitoe maelezo ili watu wajue kinachoendelea..
 
Nina jirani yangu hapa mtoto wake hajaenda kuripoti chuoni. Ada imepelea bado anasubiria mshahara. Mpaka namwonea huruma anavyohaha.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania.....................what a joke!!
 
huwa tunafanya kazi kwanza na mwisho wa mwezi ndo huwa tunalipwa. Tulipwe ujira wa mkopo wa nguvu kazi zetu kwa Serikali
 
Kuna baadhi ya watumishi wa umma hawajalipwa mishahara ya mwezi agosti mpaka leo hii. Kulikoni jamani.. kuna tatizo gani???

Kama unayemdai ndio kakuambia hivyo kuna uwezekano anakudanganya,
 
Back
Top Bottom