Special zone: China, Oman to boost Bagamoyo special economic zone

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
MONDAY, OCTOBER 27, 2014

A permanent Secretary in the Ministry of Finance Dr.Servicius Likwelile, a representative from the Sultanate of Oman together with an official from China Merchants Holdings International sign a memorandum of Understanding(MoU) between the Government of Tanzania, China Merchants Holdings international and State General Reserve Fund of Oman on a Strategic Partnership for the Development of Bagamoyo Special Economic Zone(SEZ).The Signing ceremony took place at the Shenzen Hilton Hotel in China in the Presence of President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete (photo by Freddy Maro).

Michuzi

Inabidi tuwe waangalifu viwanja vya Watanzania vimechukuliwa kwa manufaa ya uma. Tusije tukawa katika utaratibu wa kuchukua viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma na kupewa wageni bure kwa visingizio vya uwekezaji. Mimi napenda utaratibu wa wawekezaji kununua moja kwa moja kwa watu kuna maeneo mengi tu ya uwazi na mashamba Tanzania hakuna sababu ya serikali kujiingiza kwenye biashara za kuchukua maeneo ya watu. Mbona mashirika ya dini ya vyuo vimeweza kununua moja kwa moja kwa watu. Halafu hao Wachina wanaosema wataweka uwekezaji ni wa aina gani kama wanatengeneza depo la kuuza vitu vya China je inafaida gani kwa nchi?. Sijasikia mpango wowote wa kujenga viwanda wakati tumepata gas ambayo inaweza kupunguza gharama za uzalishaji viwandani, sijasikia kujengwa kwa chuo, sijasikia kujengwa kwa hospitali ya kisasa ni ma depo tu ya kuuza vitu vya kiwango cha chini ya China.
 
Watanzania wenye uwezo kama Bakhresa, MO na hata mengi wangepewa viwanja bure vya uwekezaji tungesema rushwa lakini Wachina wanapewa bure viwanja watajenga frame, depo na kupangisha haohao Watanzania waliochukuliwa viwanja.
 
Hao wa oman vip fidia yetu ya biashara ya utumwa? Watulipe kwanza na kutuomb radhi mengine yafuate
 
mengine yote uliyoandika sawa ila hilo la kuwauzia wageni ardhi BIG NO please.

Inabidi tuwe waangalifu viwanja vya Watanzania vimechukuliwa kwa manufaa ya uma. Tusije tukawa katika utaratibu wa kuchukua viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma na kupewa wageni bure kwa visingizio vya uwekezaji. Mimi napenda utaratibu wa wawekezaji kununua moja kwa moja kwa watu kuna maeneo mengi tu ya uwazi na mashamba Tanzania hakuna sababu ya serikali kujiingiza kwenye biashara za kuchukua maeneo ya watu. Mbona mashirika ya dini ya vyuo vimeweza kununua moja kwa moja kwa watu. Halafu hao Wachina wanaosema wataweka uwekezaji ni wa aina gani kama wanatengeneza depo la kuuza vitu vya China je inafaida gani kwa nchi?. Sijasikia mpango wowote wa kujenga viwanda wakati tumepata gas ambayo inaweza kupunguza gharama za uzalishaji viwandani, sijasikia kujengwa kwa chuo, sijasikia kujengwa kwa hospitali ya kisasa ni ma depo tu ya kuuza vitu vya kiwango cha chini ya China.
 
Mmmmmmh, tuombee uzima tuone hizo ndoto zikitimia.
 
Rais Kikwete hongera sana kwa kutimiza wajibu wako.
 
Tatizo anatimiza wajibu Bagamoyo na Dar, watu wa Katavi, Simiyu, Geita, Njombe na kwingineko ambako ni mbali na Dar watasubiri hadi rais aje kutoka mikoa hiyo ndio watanufaika na uwekezaji. Huyu kiongozi wetu Profesa Kikwete ameonyesha ubinafsi ambao haujawahi kuonekana toka mkoloni aondoke
 
Mbona kote huko kaishafika na kufungua miradi mingi.

Geita sasa hivi ni mkoa kazi kubwa kaifanya JK.

Simiyu sasa hivi ni mkoa chini ya JK.

Katavi sasa ni mkoa chini ya JK.

Dogo ilo...
 
Uza nchi tu ila watakao baki watumwa ni hao hao watu wa pwani
 
Mbona kote huko kaishafika na kufungua miradi mingi.

Geita sasa hivi ni mkoa kazi kubwa kaifanya JK.

Simiyu sasa hivi ni mkoa chini ya JK.

Katavi sasa ni mkoa chini ya JK.

Dogo ilo...
Katika mikataba 40 aliyosaini Profesa Kikwete mwaka jana na mwaka huu kuna hata mmoja unahusu hiyo mikoa? Ili kuwa na balanced economic zones inatakiwa muanze kufikiria decentralization maana Dar imezidiwa, Bagamoyo ndio itakosa pumzi kabisa
 
Kigoma ule mradi wa kuifanya Dubai ya Afrika umeishia wapi tena?kila kitu Bagamoyo tu!I
 
Mbona kote huko kaishafika na kufungua miradi mingi.

Geita sasa hivi ni mkoa kazi kubwa kaifanya JK.

Simiyu sasa hivi ni mkoa chini ya JK.

Katavi sasa ni mkoa chini ya JK.

Dogo ilo...
Anataka pajengwa business economy zone katavi.
 
Katika mikataba 40 aliyosaini Profesa Kikwete mwaka jana na mwaka huu kuna hata mmoja unahusu hiyo mikoa? Ili kuwa na balanced economic zones inatakiwa muanze kufikiria decentralization maana Dar imezidiwa, Bagamoyo ndio itakosa pumzi kabisa
Memorandum of Undestanding kati ya serikali ya Tanzania na China, kuna ujenzi ya reli ya kati ambayo itanufahisha mikoa ya kanda ya ziwa Bukoba, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu.
 
Back
Top Bottom