Recent content by Eng. Zezudu

  1. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

    Nini kinaendelea uko TZ
  2. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    mnacheza kwenye simu au pc
  3. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Je, Time Travel Inawezekana? Einstein Alitupa Jibu Miaka Kadhaa Iliyopita

    Hiyo time travel unasafiri kwenda wapi mkuu
  4. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kwa nini amejiuzulu tuanzie hapo kwanza
  5. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Hivi vibinti vya 2005 hadi 2010 nani ameviroga? Hii stamina na libido vimeitoa wapi?

    Bao zote izo za nini ,kuutesa mwili bastard
  6. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Kwa kuwa mwili ni karibu , jumba linalohifadhi mwili na nguvu, naona wale wanaoweza kutoka nje ya mwili , wanaweza kufika izo point
  7. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Hii mana yake kuzuia ni kazi sana
  8. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Mbona izi game ngumu sana hasa kwenye defensive tofauti na game za nyuma, Fifa 20 Fifa 21 Fifa 22 Fifa 23 Ea fc 26, Izi Zingine ngumu sana kwenye kuscore hasa fifa 15 na fifa 17, kupata goli ni kazi sana Yani.
  9. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

    Me Leo nilikuwa naenda kutafuna manzi , lakini nashukuru sana tamaa za mwili naendelea kuzishinda, Tukatae uzinzi Haina mana , kama na mmoja, piga papuchi vilivvyo
  10. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Elimu ni cheti au ni ujuzi?

    Cheti ni uthibitisho tu wa ujuzi na knowledge uliyoipata huko shule, kugundua kitu unaweza ila mazingira sio rafiki
  11. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia kabisa Elias Kihombo yupo overrated, anakuzwa na alijikuza mno ila alikuwa wa kawaida sana

    Mimi ndo genius , visionary na matokeo yangu yaliendana na msuli wangu, Form IV one 14, form 6, division two 12,
  12. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

    Meleta Uzi yupo anaomboleza kifo Cha Mkuu wa magaidi
  13. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Iran kwa nini anapigana vita ambayo hata iweza
  14. Eng. Zezudu

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

    Ukibinywa ubongo wa nyuma
Back
Top Bottom