Recent content by Eng Saimon

  1. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Wastarabu wengi wanapatikana mikoa hii Tanzania

    Huu uzi unavinasaba vya udini.... Ustaarabu unaotokana na Shirki sio? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya maendeleo: Ethiopia imepiga hatua kubwa lakini wananchi wake ndio wanaongoza kukimbia nchi

    "Huyu mupe yure muruke" Tuna safari ndefu sana kujifunza kiswahili fasaha🤣🤣 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Daraja Linalounganisha mikoa ya Dodoma na Morogoro limejaa maji, magari hayapitiki

    Duuh, Inaonekana kuna sehemu imepiga mvua kubwa sana.... Poleni wasafiri wote mliokumbwa na kadhia hii... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kipimo cha mita za mraba(M²) zinakuwaje katika kipimo cha hatua

    Uliambiwa Ufanye utafiti, hata kugoogle ingetosha kukujibu....
  5. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Iraq yaifanya Christmass kuwa siku rasmi ya mapumziko kitaifa

    The Holly Spirit has straitened the way to Iraq Government for the precious bigining of anticipating and recorgnising JESUS Christ as a Nation.... Thank You Jesus!!
  6. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

    Umefanikiwa kuanzisha uzi... Sasa unaweza kuujazia nyama kidogo uzi wako ili hadhira wapate taarifa wanayostaili...
  7. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Kama una housegirl/ Shamba boy unamlipa shiling ngapi, inaonesha unashangaa sana mtu kupokea ujira huo!!
  8. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Umegeuka kuwa secretary wa mleta mada sio?
  9. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Kwani jumla ilitakiwa upate shilingi ngapi?
  10. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtunzi mahiri wa nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

    RIP mwl Mgandu[emoji120][emoji120]
  11. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetekwa China

    Wewe ni Deo Kisandu.... Nimetambua uandishi wako mkuu.... Jitahidi utafute tiba ya magonjwa ya akili haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi....
  12. Eng Saimon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mkeo/mchumba amevutwa na walokole jiandae kuvurugwa!

    Imani gani unayo izungumzia hapa ambayo haiheshimu alichokiunganisha Mungu? Ndoa ivunjike kwa sababu mwanamke Alikuwa dhehebu hili nasasa anataka kwenda lile? I smell total confusion here!
  13. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Kwako Balozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa

    Mbona umemuattack sana Dr Slaa na sio CHADEMA? Kwani alichokuwa anaongea si ni kwa niaba ya chama? Au yalikuwa maoni yake binafsi? Najaribu kufikiria kwa maandishi!!!
  14. Eng Saimon

    JamiiForums Tanzania Nauza Eneo ekari 2.5 Chalinze

    Kama upo serious ni Pm
Back
Top Bottom